Ushauri mwingine bwana....
Hebu tuache unfounded feelings
Tuwaache ACT wakue wadhihirishe nguvu zao zaidi....mpaka sasa wako mahali pazuri and I commend them for good work done
Dr. Slaa uamuzi wake wa kupumzika Siasa ni mzuri zaidi....ajali iliyomkuta ya kisiasa he cant recover from it and he wont make a good leader of a any political part
Ushauri mwingine bwana....
Hebu tuache unfounded feelings
Tuwaache ACT wakue wadhihirishe nguvu zao zaidi....mpaka sasa wako mahali pazuri and I commend them for good work done
Dr. Slaa uamuzi wake wa kupumzika Siasa ni mzuri zaidi....ajali iliyomkuta ya kisiasa he cant recover from it and he wont make a good leader of a any political part
Sikupenda walichomfanyia. Acha wavune walichopanda . Karma!Baada ya kudanganywa na Mbowe na Gwajima mkaanza kumtukana mnamuita Dr.wa mihogo haya haya sasa mabadiliko yapo wapi makamanda???
Namshauri Anna, mgombea urais wa chama cha ACT, aungane na Slaa waanzishe chama chao cha siasa wachape kazi ya kupinga ufisadi. Sababu ni kuwa Chadema ya Mbowe inakumbatia ufisadi wakati ACT ni wasaliti siyo saizi ya Anna.
Rais Maalim Tunaimani Nawe Serikali Tatu Karibu Sana
Lowassa Rais Wa JMT
Baada ya kudanganywa na Mbowe na Gwajima mkaanza kumtukana mnamuita Dr.wa mihogo haya haya sasa mabadiliko yapo wapi makamanda???
Una roho ngumu sanaVipi mshapata makao mapya maana ukawa ndio wanaingia ikulu
Wanaukumbi.
Matokeo ya uchaguzi mkuu yanazidi kutoka kwa kasi na mwelekeo unaonyesha Chadema wanaelekea kufanya vibaya na kupoteza majimbo yao tofauti kama watu walivyotegemea.
Hii ni laana ya Dr.Slaa walichomfanyia hii ndiyo hukumu yao kwa yale waliomfanyia.
Natoa ushauri kwa Chadema kabla Chadema hawajasambaratika kama jumuhuri ya Urusi muombeni msamaha Dr.Slaa hawasemehe la sivyo mtapotea kabisa kwenye ulingo wa siasa.
Baada ya kudanganywa na Mbowe na Gwajima mkaanza kumtukana mnamuita Dr.wa mihogo haya haya sasa mabadiliko yapo wapi makamanda???
Mojawapo ya tatizo la vijana wa BAVICHA ni matusi. Yaani hamuwezi kabisa kumjibu mtu kistaarabu bila kumtukana. Hili nalo pengine limesaidia kuwapunguzia kura. Uchaguzi umepita sasa. Ni lazima tuendelee kutukanana? Can we talk normally as civilized beings? Bagosha!Wewe chizi kwelilweli,
Huyo Dr. Slaa alishinda viti vingapi vya Ubunge wakti wake wa kugombea Urais 2005?
Matokeo bado yanakuja tuko jimbo la 1x na kuna majimbo 264. Wewe subiri jimbo la mwisho ndiyo ufanye tathmini ya compare and contrast kuona Dr. Slaa alipata kura ngapi(by percantage) na viti vingapi vya Ubunge.
Usifikiri kupoteza majimbo 2 Mwanza na jimbo 1 Musoma ndiyo kushindwa, hizo ni hesabu za Twaweza. Kumbuka kuna majimbo yalikuwa ya CCM yamechukuliwa likiwemo la Mwanri na la Chiza, mbona hayo husemi???
Simblisi wewe.
Hivi mnafiki kati ya mbowe na Dr Slaa ni nani?! Jaribu kuwa mkweli kwa nafsi yako.cjawah kuona majina ya wanafiki,wazandikiki yakakumbukwa cjaona pengo lake hata chembe.
Lowassa anaweza kuwa babangu na siwezi kuzungumzia mambo ya kujinyea. Shida kubwa ni hayo madeni sasa. 10+ years anatapanya hela za "marafiki" kujenga mtandao. Mabilioni kwa akina Mbowe. Hela hizo zitarudije? That's the one million question! Mgodi unaotembea my foot!Lowassa usijinyee tena tu...vumilia baba! Hii ndio CCM.
Hivi ile misukule ya Lowasa imeenda wapi? Ila taarifa zilizopo ni kwamba imekamatwa na polisi kwa kuchakachua matokeo
Tena mnyika inabidi amsafishe miguu siku 3 ,Wenje ambebe mgongoni kutoka Ufipa hadi jangwani
hatunywi sumu hatujinyongi!!
Slaa atarudi kufufua cdm baada ya uchaguzi. Mbowe hana siku nyingi cdm. Atapigwa chini