CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

Nimetazama taarifa ya habari ile nyomi ya Mwanza ni hatari,kuna kiongozi mmoja wa NCCR amezungumza vizuri kuhusu ushirikiano kwenye uchaguzi serikali za mitaa

tv gani mkuu?
 
Nimetazama taarifa ya habari ile nyomi ya Mwanza ni hatari,kuna kiongozi mmoja wa NCCR amezungumza vizuri kuhusu ushirikiano kwenye uchaguzi serikali za mitaa
ingekuwa nyomi ya kwenye mikutano ni ushindi chadema now wangekuwa ikulu
 
Nimependa wananchi walivyaakaa chini kwa utulivu wa hali ya juu, hii inaonyesha wanamatumaini makubwa kutoka kwa wanaowasikiliza.
 
mkuu nimecheka Sana'a na yule Joyce mukya amepigwa chini nini nakumbuka mbowe alimkatisha safari alipoelekea marekani ajiunge naye Dubai watumbue ruzuku ya chadema pamoja.
:thumbup::thumbdown:
MNASAIDIANA NYIE MAKU MAKU
 
Uongo kama huu hautwasaidia.
Poleni na kipigo kijacho..... tukutane kwenye uchaguz serikali za mitaa.
 
Mkuu, Mbowe karudi juzi na jana kahojiwa na BBC hata anachoongea hakieleweki. Nadhani alikuwa na hanging over za starehe za south.
msg sent kumbe mna harisha ruhusuni maandamano mbona mitutu kuwazuia
 
afadhali ya MAKU ccm nizaidi ya MNDUKU:thumbdown:

gomboshi na mwala mmenifanya nicheke sana. Nimetafakari ninavyowaona wale wajumbe wa bunge la katiba hasa mr six nikamfananisha na hili neno la pili la mndu.....k! Nimeipenda msg na lazma waage mwaka kesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom