kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
Hakika Mungu Mkubwa anawaweka wazi maCCM jinsi ambavyo huwa yahawatumikisha wananchi kwa ahadi ya wali kwani katika picha hii inajidhihirisha watu wamekuja kwa mapenzi yao bila shuruti kwani hakuna mwenye nguo wala kitambulisho cha chama chochote tofauti na maCCM huwa lazima misukule yao ivae jezi