Hapo kwenye vipi? Hicho ndicho kimombo chako?Mkuu, Mbowe karudi juzi na jana kahojiwa na BBC hata anachoongea hakieleweki. Nadhani alikuwa na hanging over za starehe za south.

Mbowe amerudi lini kutoka kula bata na warembo afrika kusini? Kesho ataongea pumba halafu akimbilie kujificha Dubai na warembo huku akitumbua pesa za ruzuku ya chama

MBONA MASHUKA MEKUNDU SANA JUKWAANI kama kuna MGANGA WA KIENYEJI
Chama Cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA & UKAWA watakuwa kwa medani za jiji la Mwanza kesho kati ya hawa watakuwepo MBOWE, PROF SAFARI, LISU na MNYIKA medani ni kati ya FURAHISHA & MIRONGO PRIMARY. "UKAWA TUMAINI LETU"
====================
UPDATES
hawa ni baadhi ya watu waliopo mkutanoni
![]()
![]()
![]()