moko wa miujiza
Member
- Aug 20, 2014
- 66
- 30
people's power .ukawa : tumaini letu
yupo sawa, yurushie hapa namba za simu alizozitaja
Mbona wa vyama vingine hawapo kwenye orodha yako? Mbona unalitumia vibaya jina la UKAWA?
Kati ya mbowe na kikwete ni nani mjasiliamali? Nani mwenye panone?,nani mwenye lake oil,nani mwenye simon enteprises?hivi wewe kwa akili yako unatarajia kukombolewa na wajasiriamali akina mbowe? maajabu haya.
Mkuu, Mbowe karudi juzi na jana kahojiwa na BBC hata anachoongea hakieleweki. Nadhani alikuwa na hanging over za starehe za south.
hayo tumeyazoea. watanzania wenzetu mnatia aibu. kila kitu ukionacho unafikiria ni cha fulani. nyie watu wakaskazini mna matatizo sasa. sielewi hasa mnachuki gani na kikwete. kwa masikio yangu nimesikia wengine wakisema mara panone ni ya riz1 na eti mama yake ni mchaga. nilishangaa sana. mara barabara nchini amejenga mramba as if ana mamlaka yeyote, mara udom imejengwa na mkapa, wengine mnasema mtu binafsi aliandika proposal, mara shule za kata ni za mkapa mara nyokonyoko....... wapuuzi kabisa nyie.Kati ya mbowe na kikwete ni nani mjasiliamali? Nani mwenye panone?,nani mwenye lake oil,nani mwenye simon enteprises?
Ulivyo na roho mbaya, kama ni binti utakuwa ulisha fanya arboti. nHayo mabomu wapige meza kuu kwa hao viongozi wa ukawa ndio wamesababisha vurugu wasipige raia wa kawaida
Kati ya mbowe na kikwete ni nani mjasiliamali? Nani mwenye panone?,nani mwenye lake oil,nani mwenye simon enteprises?