Mbowe amerudi lini kutoka kula bata na warembo afrika kusini? Kesho ataongea pumba halafu akimbilie kujificha Dubai na warembo huku akitumbua pesa za ruzuku ya chama
Mbowe kesharudi, JK ndo bado anatumbua kodi zetu na warembo USA
Mbowe amerudi lini kutoka kula bata na warembo afrika kusini? Kesho ataongea pumba halafu akimbilie kujificha Dubai na warembo huku akitumbua pesa za ruzuku ya chama
Mbowe amerudi lini kutoka kula bata na warembo afrika kusini? Kesho ataongea pumba halafu akimbilie kujificha Dubai na warembo huku akitumbua pesa za ruzuku ya chama
Mbowe amerudi lini kutoka kula bata na warembo afrika kusini? Kesho ataongea pumba halafu akimbilie kujificha Dubai na warembo huku akitumbua pesa za ruzuku ya chama
umecheka kimalayamalaya etimkuu nimecheka Sana'a na yule Joyce mukya amepigwa chini nini nakumbuka mbowe alimkatisha safari alipoelekea marekani ajiunge naye Dubai watumbue ruzuku ya chadema pamoja.
Gesi ya machozi inarushwa watu wanataaruki sasa maduka yanafungwa. Polisi wemejiandaa vyema watu wanapiga kelele, Viongozi wa UKAWA wanalazimishwa kuondoka bila maandamano baada ya watu kutaka kumsindikiza MNYIKA.
Gesi ya machozi inarushwa watu wanataaruki sasa maduka yanafungwa. Polisi wemejiandaa vyema watu wanapiga kelele, Viongozi wa UKAWA wanalazimishwa kuondoka bila maandamano baada ya watu kutaka kumsindikiza MNYIKA.
Mbowe amerudi lini kutoka kula bata na warembo afrika kusini? Kesho ataongea pumba halafu akimbilie kujificha Dubai na warembo huku akitumbua pesa za ruzuku ya chama
Mkuu hawa watu wawili wasikupe shida kwani kila mmoja anamtumikia fisadi wake. Ukitaka kuwavuruga wewe waambie tu kuwa Lowasa hafai kuwa rais wa nchi hii au waambie Lowasa anafaa kuwa rais wa nchi hii afu wewe kaa pembeni uone wanavyovurugana. Na hii ni hivihivi hadi kwa mabwana zao huko CCM. Mmoja anafurahia rushwa za Lowasa na mwingine anategemea ndugu yake fiasadi mmoja mwenye imani mbili akiingia ikulu atamkumbuka. We wafatilie tu mkuu.Hii post imevamiwa na laki si pesa na lizabon ni hatari alfu mjieshimu hapa si mahali pa matusi kama hamkulelewa na wazazi msiwape wengine laana zenu, mkome kuwatusi watu muwe na adabu mjitathimini na midomo yenu michafu.
Mungu naomba niweke hai ili niione ccm inavyokuwa chama cha upinzani.