Mathias Lyamunda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2013
- 1,369
- 559
safi sana kamanda halafu namba yako haipatikanagi kabisa...
ile haipo tena mkuu
safi sana kamanda halafu namba yako haipatikanagi kabisa...
Mbona hueleweki...ishu ya katiba imewakaba koo sasa taratibu mnajichomoa kwenye ukawa...
Chama Cha Democrasia na Maendeleo CHADEMA & UKAWA watakuwa kwa medani za jiji la Mwanza kesho kati ya hawa watakuwepo MBOWE, PROF SAFARI, LISU na MNYIKA medani ni kati ya FURAHISHA & MIRONGO PRIMARY. "UKAWA TUMAINI LETU"
====================
UPDATES
hawa ni baadhi ya watu waliopo mkutanoni
![]()
![]()
![]()
CCM wakionaga hizi picha ndo huwa wanaamini Chadema ni Imara na haijafa kama wanavyoambiwaga.