CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

Atashughulikiwa bila kujali umaarufu wake...subiri tu utaona !

Wewe kwa mujibu wa maelezo yako ni mfuasi wa Zitto zaidi ya mfuasi wa mabadiliko kama unavyodai, kwa sababu unasema ni Zitto aliyekuvutia na sio sera za Chadema. Subiri akiondolewa umfuate huko atakakokwenda, nadhani huko mtaweza kusimamia na kuendeleza mabadiliko kwa uhuru zaidi....

nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
 
Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Ondoka wewe pamoja na huyo hero wako Kibaraka wa CCM. Tunahitaji wazalendo wa kweli ndani ya CHADEMA
 
Bw Makene.

Kama umemsoma vizuri Bw Chitanda . Tuhuma alizozielekeza kwenu ni nzito sana hususan zile za Ukanda na Udini. sasa kila mtu kwa nafasi yake wewe kujibu na yeye amezitoa. Itakuwa vigumu kwetu sisi wa pembeni kuweza kujua nini ni propaganda na nini ukweli.

Chombo pekee chenye mamlaka kisharia cha kuweza kuthibitisha ukweli au uongo ni mahakama.

sasa mnaonaje kama mtachukua maelezo yake hayo na kumfikisha mahakamani ili kuthibitisha wakati na nyinyi mkiweka ukweli na mahakama itaamua nani mkweli.

Ulichofanya kwa watu makini tunaona kama propaganda tu.

Jiwekeni wazi katika hizo tuhumaa kwa kila siku mnalalamikiwa kwayo na huyu ndio ameweka kabisa hadhwarani. Sisi ni wajibu wenu kutoa fundisho kwake na wengine wasiwaone hivyo na kujiweka sawia.

Kwani kama ukimsoma vizuri maelezo yake kwa mbaaali yanaungana na ya Mh Said Alfi japo Mh Alfi alitumia lugha ya kiutu uzima ya kusema ataki kuchaguliwa marafiki lakin kiujumla wake yote ni UBAGUZI.

Huo ni mtazamo wangu naona mahakama ni chombo sahihi cha kuwasafisha na wala sio JF.
 
mnyika anatoka mwanza na kilimanjaro. mbona mnaficha anakotoka mama yake.

acheni hizo mtoto mwenye wazazi toka sehemu tofauti inabidi museme.

Mh..sikujua kama Tanzania ya leo bado ina watu wa aina yako! Nakusikitikia sana...
 
mkuu Ritz ni mdini sana kama hujui.yaani ni wale swala tano halafu hawezi thamini.dini ya mwingine
Kumbe hiyo ndiyo tafri yenu nyie Chadema kwa Waislam, acha niwe mdini kama kuswali swala tano ni makosa.
 
Last edited by a moderator:
Uchaguzi na uteuzi cdm hauendani na dini ya mtu na sidhani kama cdm wanampango huo. Kilichonipashida ni mmoja wa dini hiyo kuvuliwa vyeo na wa dini hiyo kujiudhuru na baadae tunasikia hamasa za udini zinalejea tena. Tanzania ni yetu sote. Tuchague kuiongoza vipi, naieleweke kikatiba kama nafasi za uongozi ziendane na mlinganyo wa dini au uwezo.

Kwa bahati mbaya hatuoni viongozi wa dini moja ktk ngazi za juu cdm na uwe mkakati sasa wa makusudi kuwaleta na kuimiza watu wa dini zote kuona cdm ni yao. Vinginevyo uchaguzi ni wao...wa cuf sawa, wa ccm sawa ncccr sawa.. tutafika tu 2015 na kura za kuchukua dola zitaeleweka. Cha msingi uchaguzi huo uwe wa huru na haki.
 
hoja zote zimejibiwa,mmeandika wenyewe halafu hamjui mlichokiandika,tafuteni chama mkatoe mawazo yenu hayo ya ajabu]
 
Tumechoka na mathread ya CDM tu,mods plz plz toa yanakera yapo mengi mo.
 
Makene acha kupotosha Mnyika ni Mpare.
 
Kumbe hiyo ndiyo tafri yenu nyie Chadema kwa Waislam, acha niwe mdini kama kuswali swala tano ni makosa.

You are very dangerous in the Tanz politics! Inawezekanaje hiyo iwe tafsiri ya cdm?
 
Aksante kwa ufafanuzi, chama changu makini CHADEMA DAIMA
 
Waangalie dini kwani wanachagua mkurugenzi wa msikiti au kanisa? Wanachagua kwa kuangalia sifa na si dini! Kama upande wenu hamuangalii sifa mnaangalia dini endeleeni hivyo hivyo.
kumbe unalijua hili mbona hukulisema wakati wa mtei alipo tomboka juu ya tume yakatiba au bado ulikuwa hujamiliki simu au laptop?ALIANZA MTEI KUANGALIA DINI HAWA WENGINE WANAFUATA TU.
 
Mnyika Mwanza???
Ni sawa na useme Wenje anatoka Mara, halafu ukaacha kutaja UKENYA wake!

au
usomali wa kinana
ukenya wa mungai???

ACHA UJINGA WAKO WEWE, AYA MANENO YA UKABILA PIA UDINI NDO KARATA PEKEE ILOBAKI INAYOTMIWA NA MAPANDIKIZI YA CCM PIA CCM WENYEWE DHIDI YA CHADEMA
 
mnyika anatoka mwanza na kilimanjaro. mbona mnaficha anakotoka mama yake.

acheni hizo mtoto mwenye wazazi toka sehemu tofauti inabidi museme.
Sidhani kama wewe ni Mtanzania ,unasababisha kichefuchefu hakuna mwana ccm mwenye mawazo ya kijinga kiasi hiki,shame on you
 
Dr. Slaa alisema watajibu pale patakapokuwa na upotoshaji mkubwa. Pamoja na uongo mwingi aliosema huyu Chitanda, vile vile alipotosha mahali wanapotoka wakurugenzi ndio maana Makene akamsahihisha.....Kwenye suala la udini, viongozi hawachaguliwi kwa udini wao, bali kwa uwezo wao, na huyu jamaa hajapotosha aliposema wote ni wakristo bali ameonyesha tu kwamba yeye ni mdini (anaangalia watu kwa jicho la udini bila kujali uwezo). Ulitaka Makene ajibu upotoshaji gani hapo? Sasa kama wote ni wakristo ulitaka Makene asema mmoja ni muislam ?

Bwana Makene amefafanua vizuri sana kuhusu mikoa waliotoka hao viongozi hapo chini ila nadhani amesahau kujibu ishu hiyo hapo kwenye red.
pengine hakuiona katika taarifa ya awali iliyotolewa na mwenyekiti wa Lindi
 
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.

Ukiwa mpumba.vu huwezi elewa kitu hapo uliza ujibiwe.
 
Back
Top Bottom