Kweli wagonjwa hawapo hospitali peke yake sasa huyu sijui atatibiwa na nini mpaka apone make hayupo jospital msaidieni jamani.
Siku nyingine ukiona yanakubana wahi chooni, hapa sio mahala pake kuyaachia!
Kaka utasababisha watu wafukuzwe kazi pale ofisi ndogo .
zitto ana ushawishi gani kama alishindwa kupata madiwani jimboni kwake?Hakuna ulichojibu haapa,mwenyekt wa CDM n zitto kabwe na ndo mwenye ushawish wa kushka dola wengne wote makanjanjaa tuu
Tumaini Makene, kumbe huwa mnajifunza mengi kutoka kwangu.
"mkikosa hoja mnaanza viroja" = courtesy FaizaFoxy
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
Chadema ni chama Kitakatifu...
kwani uongozi unapatikana kwa kigezo cha dini?Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
You are a F.O.O.L just as zitto is!!
ofisi ndogo ni zipi hizo mkuu?
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Hapo kwenye bold zingatia, Chadema hatutaki washabiki wa watu fulani, tunataka wafuasi wa Part idiology (Mlengo wa chama), tena bora uondoke na Zitto wako. Chadema ni chama kinachotarajiwa kuishi miaka mingi ijayo hivyo lazima kijengwe kwenye misingi ya sera, na kipendwe kwa sera zake sio kwa sababu ya watu fulani, Zitto, Kitila, Dr, Slaa, Mbowe na wengine watapita wataicha CDM, kama itapendwa kwa sabau hiyo basi kitakuwa chama cha msim na kila kiongozi anaekuja atakuja na yake.nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
na ni kitakatifu haswaaaa....kitakatifu sana
Kwa hiyo hata kama Waislam uwezo wetu mdogo tuwekwe tu kwenye uongozi mi nafikiri jitahidi kuelimisha jamii ya waislam tusome kwani haya yanayotokea CCM kuwa na viongozi wengi wa kiislam matokeo yake tunayaona.Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Chadema inaendelea kujipambanua Kama chama cha KIKRISTO na hii haina ubishi... hats tikitumia propaganda zipi ukweli ndio huo. Kwa kuwa tatizo lipo lazima ku- leverage mambo. No way!!. Historia ya Uhuru isiachwe nyuma. Kinyume chake hatufiki....