Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,441
Taifa la Zanzibar?Waislam 15 ni kutoka taifa la Zanzibar tunataka Watanganyika.
Taifa la Zanzibar?Waislam 15 ni kutoka taifa la Zanzibar tunataka Watanganyika.
hakuna ukweli uongo mtupu!
mkuu umesahau hawa jamaa ni ma'double standard?Hivi mjadala si mliufunga au?ya nini sasa kujibu@Makenika
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Hivi mjadala si mliufunga au?ya nini sasa kujibu@Makenika
Japo mimi ni supporter wa ZZK nikisubiria the end to justify the means, Chadema mkifanya jumbo zuri la kustahili uongozi, napongeza!.
Kwa hili la mujibu ya haraka, hongera Makene , hongera Chadema
Pasco.
Hayo ni maneno halisi ya Mwalimu, yapo katika hotuba yake aliyoitoa katika ziara ya kiserikali chuo kikuu cha Oxford nchini Uingereza.
Ilikuwa ni tarehe 19 November,1975. Hakumnukuu mtu.
Hotuba kamili inapatikana katika kitabu cha FREEDOM AND LIBERATION which is a selection from speeches, 1974-1999. chapter 10 uk.69.
hakuna ukweli uongo mtupu!
Chadema inaendelea kujipambanua Kama chama cha KIKRISTO na hii haina ubishi... hats tikitumia propaganda zipi ukweli ndio huo. Kwa kuwa tatizo lipo lazima ku- leverage mambo. No way!!. Historia ya Uhuru isiachwe nyuma. Kinyume chake hatufiki....Tanzania nchi yangu, wanao hawajajifunza kitu toka kwa majirani, naomba nisiwepo kushuhudia tutakapoanza kuchinjana kama kuku coz of udini, ukabila na ukanda maana ndipo tunapoelekea slowly but surely, siku hizi kukiwa na uteuzi watanzania
hatuangalii uchapakazi au uadilifu wa mtu bali
kama ni mwenzetu kidini au kabila, shame the propagators of this evil, please stop it b4 its late, today rwandese wangetamani kuturn back the clock to no avail, tujadiliane kwa hoja na siyo vioja, na chama au taifa lolote linalofanya uteuzi kwa kuogopa kwamba hatujajumuisha watu wa dini, kanda au kabila fulani is a failure nation which should be wiped out of the face of mother earth, shame Ritz grow up for once.
Mkuu kisu kimekata mfupa!!"Nina nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CCM taifa,
Hivi uchaguzi unafanyika lini?
mnyika anatoka mwanza na kilimanjaro. mbona mnaficha anakotoka mama yake.
acheni hizo mtoto mwenye wazazi toka sehemu tofauti inabidi museme.
Nina nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CCM taifa,
Hivi uchaguzi unafanyika lini?
Mkuu kisu kimekata mfupa!!"
Anza kukata kucha na meno yako ili angalau upunguze maumivu kwa kukatwa kichwa tu.