CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

Kama ni kufilisika sasa Maccm yamefilisika kabisa. Tuweke uongozi kwa kuangalia dini za watu hata kama hawana hizo sifa?? Jamani, mpaka leo Tz kuna watu wenye mawazo mufilisi ya kuuliza dini ya mtu fulani wala sio uwezo wake wa kuongoza?? Tumetoka wapi huko? Basi vyama vianzie makanisani na misikitini, na sisi tusio na dini tuanzie kwenye madogori. Toa upuuzi huu wa Maccm humu jamani. Unaleta kichefuka chefuka.
Mtajitahidi sana kuwaharibu wadanganyika wenu, sasa wameamka. Mlikuwa mnafuata ile methali ya kiingereza; Let sleeping dogs lie. Sasa mmekosea njia na kuyaamsha mambwa yaliyo lala. Moto mtauota tu 2015 si mbali. Udini, ukanda hata ukabila hautasaidia tena
 
Ni kitu CCM hawkauwahi jifunza sana,ingawa ni wahanga wakuu wa zahma wakati CDM wanageuka.CHADEMA wamekuwa na ufanisi sana ktk kujitoa ktk misuko suko mobaya,mikubwa na yenye mitego.Maadui zao wamekuwa na nguvu nyingi sana za mali,sababu za kujificha, makosa ya kupika na hata dola nyuma yao.Ila reaction ya CDm humaliza yote km upepo.


NI swali ambalo najiuliza nini kinajaenga huu ufanisi.JE suala la UKWELI KUPOTEZA UONGO?JE NI SUALA LA MWANGA KUONDOA GIZA?JE NI SUAL AL WELEDI NA MAARIFA AU NINI?Mara nyingine ,CDm huhitaji kupost threadmoja tuu hapa JF na siku nzima hali ya hewa hubadilika hadi kesho yake magazeti yote huwa ktk panic y ahali ya juu waandike nini zaidi ya kwenda upande wa CDM.

Mfano mzuri ni baada ya kelele nyingi,taarifa mbalimbali etc...ilichukua Thread moja Tuu ya Jamaa anayeitwa MUNGI kupelekea mshtuko nchi nzima na kila taarifa ya polisi Ikulu,kupiga U-Turn na biashara ikawa imekwisha.

Lilikuja suala moja tuu la Yericko Nyerere kupost thread moja iliyompa Zitto homa kamisa hadi kuja maliziwa na waraka wake na Kitila Mkumbo.

Ilichukua Tamko moja tuu la CDM kuimaliza TBC hadi leo.Ilichukua muda mfupi sana Mchungaji Msigwa kummaliza na kumwacha mila meno ya kisiasa Katibu Mkuu wa CCM Kinana.

Ilichukua kauli moja tuu "Dhaifu " ya Mnyika kuliambia taifa rais na Bunge ni dhaifu na hadi leo Ikulu haijaweza fanya kitu ,wala kujitoa ktk hiyo kauli.

Ilikuwani ktk mkutano mmoja Dr.Slaa alitangaza LIst of Shame hadi leo ufisadi haujaweza wabdili watanzania fikra.Kuna Mengi sana ya soft reactions za CDM ambazo ni hatari kuliko laana,ni hatari kuliko dola ,silaha na mahakama za tanzania.

Najiuliza nini ni siri ya huu ufanisi?
 
huo ni mpango wa Mungu na binadamu hawezi kuubadilisha hata afanye nini, wao wafuate ushauri wa mwenyekiti wao wa kujiandaa kisaikolojia ,na ninaona ni pekee aliyebaki na busara CCM kwa sasa mpaka amekuwa adui yao
 
uzalendo, haki, commitment, ukweli!!!
Hivi vyote Mungu anavisimamia na kubariki.
 
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....

Habari kuhusu Zitto si habari tena.Ameakubali makosa,acheni kucopromise na shetani huo ni ushamba kwani tuanze kuwa wakweli.Kama kitu ni cheupe tusema cheupe.Sasa mnahangaika kumtetea mtu aliyetubu makosa yake wa nini?
 
Jah/Mungu yupo nyuma yetu Chadema!

Siku nilipoiona thread ya Mungi..nilipata mshtuko mkubwa sana.Ingawa nilijua kuwa ni hujuma za dola.Tangu lilipopigwa bomu la olasiti, ktk mkutano wa CDM uliniongezea tuu chuki dhidi ya dollar,chuki hiyo haitotoka ktk maisha yangu dhidi ya hii dola dhalimu.

Niliona kabisa kuwa CDM wameshapiga bao,ila nilijiuliza sana.Kwanini CCM hawakujifunza kutumia hujuma ambazo zingechanga saikologia ya watu ila si hii ya mauaji ambayo ni mbaya sana,na kwa vyovyote inawapeleka watu the hague baadae.Nilijua magazeti ya kesho waandishi wataparangana sana kubadili agenda,wengine watajaribu hoji hiki na kile ila hata Lumumba,ikulu na pengine hawakuwa tayari ktk siku 5 zinazofuata.

Its always km hivyo..huwa hawachelewi wala hawawahi.ila wakitoa kila kitu ni timely.
 
Utayari wa wananchi kupokea na kufanya mabadiliko. Wananchi wameiva na wanamwona chadema ndo tumaini lao, kwa hiyo wako tayari kumsikiliza. Chadema wasipotumia nafasi hii waliyopewa na wananchi basi wajiandae kuhukumiwa na historia.
Sina uhakika kama chadema wanalijia hili!
 
Ni swala la kumkataa shetani,ni swala la kutambua haki zetu,ni swala la kuelimika kwa elimu ya bure kupitia cdm.

tumekula hasara kwa miaka 51 na sasa tunaenda kula mtunda ya nchi yetu pamoja na wabaya wetu bila kujali itikadi zetu.

Tamko moja la chadema linatajirisha viwanda vya magazeti pamoja na wamiliki wa magazeti.

Tamko moja la cdm ni zaidi ya hotuba za mwisho wa mwezi za rais wa nchi.

Ukichunguza kwa udani utanielewa na zaidi ya hapo cdm inadhamira ya dhati.


Kuna jambo moja linanisumbua sana mkuu,kama zitto hakuwa na mpango wa kuua chama,leo imekuwaje vijana wake wote aliokuwa anashirikiana nao ndani ya chadema kabla hawajafukuzwa na kuhamia ccm ndiyo wanaozunguka mikoani kushawishi watu watoe matamko? na matamko hayo yanahusisha issue yake na kamati kuu,zitto haoni dhana inayojengeka vichwani mwetu kuwa ni kweli alikuwa na mpango mbaya kwa chama?

Kwa nini asiwaonye vijana wake,ambao wengi wako nje ya chama kuwa waache sarakasi zao ili amalize matatizo yake kwanza?

Kwa nini anaruhusu jina lake litumike kuhujumu chama wakati yeye ni mmoja wa wanachama hai wa chadema?

INAUMA SANA KWA MSOMI KAMA ZITO KUTOKUWA NA MSIMAMO DHABITI WAKATI WA MPITO KAMA HUU
 
wanajua mkuu na ndio mana maamuz yao ni mazito mpaka magamba yana weweseka,liko kusud la Mungu nyuma ya chadema nothng to wory abt.
 
Siku nyingine ukiona yanakubana wahi chooni, hapa sio mahala pake kuyaachia!
 
Utayari wa wananchi kupokea na kufanya mabadiliko. Wananchi wameiva na wanamwona chadema ndo tumaini lao, kwa hiyo wako tayari kumsikiliza. Chadema wasipotumia nafasi hii waliyopewa na wananchi basi wajiandae kuhukumiwa na historia.
Sina uhakika kama chadema wanalijia hili
!

hapa ndipo panakuacha uchi..bado upo ktk propaganda ndogo sana zinazotosha kuku[otosha wewe tuu..humu ndani kwa leo.
 
Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini Masikini Mkulima alijisahau kuweka picture!?
Badala yake akaiweka ID ya computer yake?.
Elewa Chadema ni mpango wa Mungu.
 
Hili chama la mashetani na matamko ya kila siku kesho toeni lingine tena mnazima moto kwa nyasi kavu zitto kiboko yenu.
 
masanjasb MPeni siku kadhaa tuu atakuwa kajipa mavi kila mahali..watu wakicheka atafunika uso na kuupaka mavi, wakiendelea cheka atakuna kichwa na kukipaka mavi, apewe media tuu Zitto wakati CDM wanaendelea na mambo yao mtamsikia na watangazaji vibonde,mtamsikia na band yake...na magamba wakipepesa mamcho kabla CDM hawajatoa maelezo ya mwisho yatakayomwacha kichaa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
masanjasb Kweli wagonjwa hawapo hospitali peke yake sasa huyu sijui atatibiwa na nini mpaka apone make hayupo jospital msaidieni jamani.
 
Last edited by a moderator:
Siku nyingine ukiona yanakubana wahi chooni, hapa sio mahala pake kuyaachia!

Kwa leo wewe ndio kichekesho cha siku...yaani ni km ngedere aliyenyonyolewa manyoya na kupakwa rangi tofauti kila akifuta wengine wanamkimbia kwa vile wanamwona si mwenzao.

CDM wameshakupaka rangi..endelea jichekesha CCM ila siku zote hutachekesha,na kila ukiwakaribia wanakukimbia..so kuwa busy kwa hilo hadi ufe lonely.
 
Back
Top Bottom