Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,865
- 287,917
Hivi udini ni nini?
wewe shabiki mkubwa wa udini humu jf unataka kumhadaa nani kwamba hujui maana ya udini ?
Hivi udini ni nini?
Hivi CC ya CCM ina wakristo wangapi?.Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Hata mimi sijui , hebu tu tazama wajumbe wa kamati kuu ya CCM kwa jicho la dini twaweza para jibu.
1. Mhe. Jakaya Kikwete
2. Mhe.Dr. Ali Mohhamed Shein
3. Philip Mangula
4. Abrahaman Kinana
5. Ali Vuai
6. Mwigulu Nchemba
7 .Dr.Asha RoseMigiro
8. Zakhia Meghji
9. Nnape Nnauye
10. Seif Khatib
11.Pandu Kificho
12. Anne Makinda
13.Dr.Gharib Bilal
14. Seif Idd
15.Mizengo Pinda
16.sophia Simba
17. Sadiffa JUMA
18. Abdalah Bulembo
19. Dr.Salim A.Salim
20. Prof. Makame Mbarawa
21. Dr. Hussein Mwinyi
22.Maua Daftari
23. Khadijah Aboud
24. Samia S.Hassan
25. Shamsi Vuai
26. Prof.Anna Tibaijuka
27. Emmanuel Nchimbi
28.Stephen Wassira
29. Willium Lukuvi
30. Pindi Chana
31. Alhamisi Adam Kimbisa
32.Jerry Silaa
Yani ukweli ndio huo hao niwakuwatupa sasa wala hakuna sasababu ya kusubiri, hii ndio karata ya ccm ya mwisho iliyobakia ikishapita hii cdm itakuwa kama inamsukuma mlevi
Hivi CC ya CCM ina wakristo wangapi?.Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Hapo nadhani ni 20-12, kwa kuangalia majina tu?
Ni kumpa mtu cheo kwa kuzingatia dini yake kama kigezo.Hivi udini ni nini?
Waliyoiona hiyo bei sio umri wako. Unless otherwise utuambie umri wako unafanana na kingunge!
#AchaSoundMkuu
Mbezi beach? Mwaka gani.
Waislam 15 ni kutoka taifa la Zanzibar tunataka Watanganyika.Hapo nadhani ni 20-12, kwa kuangalia majina tu?
Acha porojo jibu lini kiwanja Mbezi Beach kiliuzwa elfu 10?Mjibu huku huyu msukule mwenzako mkishaelewana ndio muungane mje kwangu.
Hamuwezi kupambana na mimi wakati nyinyi wenyewe mnapingana. Kiwewe!
Ahaaaa,Waislam 15 ni kutoka taifa la Zanzibar tunataka Watanganyika.
Kwa kufanya hivyo, Itawalazimu kabla ya kumpa mtu uongozi waangalie kwanza kanda, kabila na dini yake.Lazima cdm kwenye kupanga safu yenu ya uongozi mutengeneze sura ya kitaifa ili musionekane wadini,wakanda,wakabila,kama wanavyodai watanzania nyinyi cdm hamlioni hilo
Ni kumpa mtu cheo kwa kuzingatia dini yake kama kigezo.
"....But when all hope for change is denied, because the very principles of freedom and equality is denied, and when the laws prevent peaceful expression of opinions, then the people are confronted by a clear choice,they either acquiesce in their oppression and humiliation or they commit themselves to an armed struggle''. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
..Hajaanza yeye alianza mtei kwenye tume ya jaji warioba(Tume ya katiba) mbona hukuyasema haya uliyo yasema leo?
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
Mkuu Tumaini Makene,
Kwanza asante kwa mujibu prompt on time, bila kuchelewa, bila kukawiza!.
Kwa vile hili sio tamko la kwanza, japo mmeufunga rasmi mjadala, uongo ukitolewa na kuachwa ujibiwe, utaonekana .ni ukweli, hivyo naunga mkono kila uongo ujibiwe kwa mujibu ya ukweli na ikiwezekana, huu sasa ndio uwe msimamo wa chama chenu, na ili kuepuka, double standards nashauri, wajibuni na wale viongozi wengine wote, kwa kujibu hoja kwa hoja, not sherry picking!.
Pili, natoa ushauri tuu kwa Chadema, sometimes, sio lazima kutoa mujibu mareefu kwa hoja nyepesi nyepesi, hata kuijibia hoja ya wazi ya kosa la typo tuu kuifanya ni hoja !. Sometimes kubalini ukweli, kwa mujibu mafupi tuu to cut the long story short mfano." Tumepokea barua yako ya kujiuzulu, uongozi ndani ya Chadema, hoja zako tumezipokea na zitafanyiwa kazi kwa mujibu wa taratibu zetu, tunakushukuru kwa utumishi wako kwetu, na tunakutakia kila la kheri huko uendako! "
Japo mimi ni supporter wa ZZK nikisubiria the end to justify the means, Chadema mkifanya jumbo zuri la kustahili uongozi, napongeza!.
Kwa hili la mujibu ya haraka, hongera Makene , hongera Chadema
Pasco.