Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
Tumaini Makene tunashukuru sana kwa hili.
Mkuu una mshukuru Tumaini Makene wakati ameshindwa kuwambia watanzania hao waliotajwa wanalipwa ni shilingi ngapi?
Last edited by a moderator:
Tumaini Makene tunashukuru sana kwa hili.
Mkuu mimi naomba kufahamishwa. Huyu bwana aliyeteuliwa kuwa mkurugenzi wa sheria ni wakili anayesimamia kesi ya Kilewo huko Igunga. Analipwa mshahara wa ukurugenzi? Au naye ni sawa na wabunge ambao pia ni wakurugenzi? Kama analipwa mshahara, anaposimamia kesi kama hiyo niliyoitaja ya Igunga analipwa pesa ya uwakili mbali na mshahara anaolipwa? Nisaidie kufahamu hayo.
Kutokana na kuwepo kwa taarifa ya Ndugu Ali O. Chitanda, huku pia waandishi wa habari wakitaka kujua na kupata ukweli kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, tunapenda kutoa ufafanuzi mfupi;
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA YA NDUGU ALI O. CHITANDA
...Pia si kweli kuwa kila mtumishi anayejitolea Makao Makuu analipwa. Mathalani, wakurugenzi wenye nafasi za ubunge, hawalipwi hata shilingi moja kwa kazi zote wanazokitumikia chama na Watanzania kwa ujumla. ...
Imetolewa leo Novemba 30, 2013, Dar es Salaam na;
Tumaini Makene
Ofisa Mwandamizi wa Habari- CHADEMA
yafaa wanaotangaza propaganda za udini ukabila nao wapewe sifa hizo na wachukuliwe hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na uthibitisho wa suala hilo
Wewe kama unamtaka Zitto jiandae kumfuata huko atakakokwenda, Zitto ni pandikiza la CCM ndani ya Chadema, he has to go. Chadema ni zaidi ya Zitto Bwana.
Tiba
Mkuu huyu Anonymous Faiza Foxy anamjuwa nani?
Yeye ana chombo kipi cha habari mpaka umqoute? Maana huo usemi Jenerali amekuwa akiutumia muda mrefu kabla ya Jambo Forum na baadaye Jamii Forums kuanzishwa.
Unajuwa hata mimi zamani nilikuwa najisikia fahari kuwa mzawa wa Mzizima kumbe na mimi nilikuwa ni sehemu ya mafala tu ambao hatukuona mbali kwa kutaa kununuwa viwanja Mbezi beach wakati vikiuzwa elfu 10 kwa plot tuliona bado ni porini na barabara ilikuwa ni shida tupu mashimo mtindo mmoja.
Ila leo wale wakuja ndio wanaokula upepo wa bahari kwenye mahekalu yao huku mimi na mzawa mwenzangu Faiza Foxy bado tunaishi kwenye makazi duni kariakoo ambako kupata fresh air ni ndoto na bado tunakunya kwenye vifuko vya rambo.
People's Power! Ahsante @TM. Sisi tuliojiunga CHADEMA kwa sababu ya sera na falsafa za chama(si kwa kufuata mtu), tupo imara na vizazi vyetu. Mlichokifanya ni muafaka kabisa. Ukimuua mchawi anayefuga fisi, lazima mafisi yatatoka mkuku kutoka kwenye 'tembe' lake. Yaacheni MAFISI yatoke.
....machozi ya panzi!!!!Mkuu una mshukuru Tumaini Makene wakati ameshindwa kuwambia watanzania hao waliotajwa wanalipwa ni shilingi ngapi?
Mnyika ni ------ ........haya Furaha yako itimie .....ila jibu KAMATI KUU YA CCM WAJUMBE 31, WAKRISTO 9 na waislamu wako 29, aidha Secretariat ya CCM ina wajumbe 7, wakristo 1 na waislamu 6, nini maana yake?
Mmmmh!!, wewe hujajua mshahara wanaolipwa, tayari umeshasema ni waongo, hapo nani muongo kati yao na wewe ambaye hujui wanalipwa kiasi gani?, acheni kufanya kazi ya Shetani.Hivi chadema mbona ni waongo sana?
Hao walio tajwa wanalipwa shilingi ngapi?
huyu jamaa aanzishe chama chake ili achague viongozi wa dini hiyo aliyotaja! hizi hoja za kuleta usawa katika nafasi za uongozi kwa kigezo cha dini ni mufilisi kabisa
JF siyo sehemu ya porojo lini kiwanja mbezi kiliuzwa elfu 10?
Ndio kuna siku kiliuzwa 10,000
Lakini swali je yeye alikuwa amezaliwa? Au alikuwa na umri gani?
Aache sound hizo!!!!!!!!!!!
Umetumwa? toa siasa zako mufilisi hapa.
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
Bishaneni kwanza mazuzu kwa mazuzu mkishaelewana ndio mrudi kwangu.
Bishaneni kwanza mazuzu kwa mazuzu mkishaelewana ndio mrudi kwangu.
HiVi Zitto na wenzake kitila na Arfi wanaitafutia nchi nini Kutafuta huruma kwa kutumia udini tena....Kitila Unaidharaulisha personality yako na Phd, sikuweza kufikiri kama Kitila nawe ungekuja kuwa ni moja ya wanasiasa wenye kutumia kete ya udini. Kama mnadhani kuhubiri udini siku mambo yakiharibika mtakaa salama endeleeni historia ni jaji mzuri. CC Zitto, Kitila na Wasariti Wengine