Avanti
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 1,209
- 240
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Hata mimi naona hajajibu chochote. Mnyika kwanza hata lugha yeyote ya kanda ya magharibi haijui. Yeye ana asili ya Kichaga. Singo Benson Kigaila naye ni Mpare hata kama anaishi nje ya Kilimanjaro. Makene usitetee kuwa hakuna ukabila na ukristo CDM. Nakushangaa sana unajua! Ipo siku nawe utabadilika na kuongea kama Chitanda, just twende kazi!