na hiko ndicho kipimo cha haawa wasomi wetu binafsi nashangaa msomi kama kitila kukubali kupigiwa debe na watu wanaoimba udini udiniHiVi Zitto na wenzake kitila na Arfi wanaitafutia nchi nini Kutafuta huruma kwa kutumia udini tena....Kitila Unaidharaulisha personality yako na Phd, sikuweza kufikiri kama Kitila nawe ungekuja kuwa ni moja ya wanasiasa wenye kutumia kete ya udini. Kama mnadhani kuhubiri udini siku mambo yakiharibika mtakaa salama endeleeni historia ni jaji mzuri. CC Zitto, Kitila na Wasariti Wengine
Kazi kwelimnyika anatoka mwanza na kilimanjaro. mbona mnaficha anakotoka mama yake.
acheni hizo mtoto mwenye wazazi toka sehemu tofauti inabidi museme.
Hivi sisi wakristu tulioko CCM ni wajinga? Sipendi ukristu wetu uhusishwe na chama chochote cha siasa.huyu jamaa aanzishe chama chake ili achague viongozi wa dini hiyo aliyotaja! hizi hoja za kuleta usawa katika nafasi za uongozi kwa kigezo cha dini ni mufilisi kabisa
Kweli aisee,nakumbuka baba Lilian alilalamika kuwa tume ina waislam wengi,alisahau kuwa kwenye saccos yake hakuna mkurugenzi muislam hata mmoja
Watu wameanza kujadili dini, sisi dini ya rais inatuhusu nini? -J K Nyerere.
Kwa uvivu huu wa kufikiri na kuendekeza mijadala yakiongozi fulani ni dini hii, wajumbe wa kamati fulani ni wa dini fulani, tujiandaye kushuhudia kura za visasi. Ninafikiria kama ccm itapitisha mgombea urais na makamu wake wote wakiwa waislam kwa lengo la kuivusha Tz baada ya huyu aliyepo, hali itakuwaje?
Je watu wataangaliye ubora wa mgombea au mjadala utaegemezwa muislam anakuja kumrithi muislam mwenziye au kwa nini wakristu hawakupewa nafasi hiyo, nk.
Tutafakari ili tulijenge taifa letu.
Dini ya mtu mwachiye yeye ni Mungu wake. Tunahitaji viongozi waadilifu siyo maaskofu wala masheikh.
Taifa linaibiwa mchana kweupe, sembe kila kona, ukosefu wa uwajibikaji pia nao ni dhahiri, ktk medani ya kimataifa tunalegea, nk. Tunahitaji kuyatizama hayo kwa jicho kali. Tafakari
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
Wewe kama baba yako ni mtanzania na mama ni mzambia utasema ubini wako ni wa wapi?Kazi kweli
Kwa kabila letu tunachukua ubini wa Baba...Wewe kama baba yako ni mtanzania na mama ni mzambia utasema ubini wako ni wa wapi?
.Huo udini hapa uko wapi ukiangalia huu mtiririko wa majina ya wajumbe utaona umezingatia zaidi muungano wa Tanganyika na zanzibar na muungano wa TANU na ASP Agalia majina ya wajumbe wa tz bara ni mangapi na uwangalie ktk hayo wenye majina ya kikiristo nI wangapi na wenye majina na kiislam ni wangapi? Halafu angalia ya wajumbe kutoka znz na uwangalie katiba ya ccm inasemaje kuhusu muundo wa hii halmashauri na uwangalie katiba ya znz inasemaje hasa swala la uraiya na swala la mtu gani mwenye sIfa ya kugombea nafasi ktk vyama na taifa. Nadhani utaona kama ccm hakuna huo udini na ukabila mulio nao CHADEMA.Hapo nadhani ni 20-12, kwa kuangalia majina tu?
Umbali kwako ni mwisho wa pua yako. Udini haukuanza na tamko la Mtei, uliasisiwa na Chama fulani kwenye ilani yake ya mwaka 2005 na kukuzwa sana kwenye kampeni za 2010Hili limeasisiwa na mzee Mtei rejea tamko lake juu ya wajumbe wa TUME YA KATIBA!
Hayo ni maneno halisi ya Mwalimu, yapo katika hotuba yake aliyoitoa katika ziara ya kiserikali chuo kikuu cha Oxford nchini Uingereza.Hii jee unajua juli nyerere alim-quote nani hapo? au unadhania hayo ni maneno orijino ya juli nyerere?