CHADEMA twazidi kujiimarisha

Mkisha zitia moto hizo pikipiki za cdm ndiyo itaweza kuipandisha thamani ya shilingi ya tanzania dhidi ya dola ya kimarekani?
Mkija huku na hivyo vi piki piki tutavitia moto mrudi kwa miguu.
 
Wewe upo kwenye kundi la mwisho hapo kwenye sentensi yako
Huku hatuna kelele nyingi, fanyeni mjilete na vimaandamano vyenu vya hovyo hovyo ndio mtaelewa kuwa kuna vijana au kuna nyumbu.
 
Hatutaki siasa za hovyo za sijui mdude katekwa sijui uhuru wa habari hizo fanyeni huko huko mkija huku labda mje kujenga viwanda au ishu nyingine za maendeleo.
Mkisha zitia moto hizo pikipiki za cdm ndiyo itaweza kuipandisha thamani ya shilingi ya tanzania dhidi ya dola ya kimarekani?
 
Mbona unateseka sana?
Hatutaki siasa za hovyo za sijui mdude katekwa sijui uhuru wa habari hizo fanyeni huko huko mkija huku labda mje kujenga viwanda au ishu nyingine za maendeleo.
 
Wanajiundia wenyewe tu
Leo wanahamia kwa wakurugenzi wa almashauri kuwa wanaiba kura!
Sasa mbona akina Zito, Mbowe nk pamoja na lundo la madiwani nchi nzima walirangazwa washindi na wakurugenzi haohao!
Subiri muziki uache kelele hizo. Leo wameitwa kupewa maagizo mapya na mkulu wao. Jizi ni jizi tu hata likiwa ccm
 
Dawa ya mwizi ni sungusungu wacha wajidanganye
Subiri muziki uache kelele hizo. Leo wameitwa kupewa maagizo mapya na mkulu wao. Jizi ni jizi tu hata likiwa ccm
 
Huna jipya wewe endelea kumramba miguu chakubanga
Waambie na wenzio mapema kabisa wakija huku waje na sera zilizo shiba kama Wilaya yetu ilivyo shiba ki rasilimali otherwise tutawakimbiza kama wezi.
 
Waambie na wenzio mapema kabisa wakija huku waje na sera zilizo shiba kama Wilaya yetu ilivyo shiba ki rasilimali otherwise tutawakimbiza kama wezi.
Wilaya imeshiba rasilimali huku wananchi wa kahama wakiogelea kwenye umasikini. Mbwa nyie. Hata hamjitambui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…