Kahama_Tanzania
Member
- May 11, 2019
- 72
- 13
Sawa Afisa mdude.
We endelea kubwekabweka hapo lumumba, huku ukiufyata mkia makalioni.
We endelea kubwekabweka hapo lumumba, huku ukiufyata mkia makalioni.
Wewe endelea kubwekabweka hapo lumumba, huku mkia ukiuficha makalioni.Sawa Afisa mdude.
Hadi raha!Kuelekea chaguzi zinazo kuja na kuzidi kukiimarisha chama cdm tumeingiza pikipiki 200 ili kurahishisha usafiri kwa watendaji wetu ili tukiimarishe chama.
Hapa chini ni mzigo huoView attachment 1099082View attachment 1099083
Naona bado upo usingizini ndugu yangu.Ukitazama kwa jicho la kipofu utafikiri Serikali ya Ccm na Ccm yenyewe hawajui nani aliagiza hizo piki piki na harafu utafikiri siyo Ccm waliotoa kibari cha kuingiza hizo piki piki.
Yaani lumumba hawajui Money transaction zilianza lini zozote juu ya hili.
Tena hawana mkono wowote juu ya hukumu ya mahakama Shido ya wasimamizi, ma DED.
Hapa ni kwamba M4C wamekaanga pesa na muda kwenye tudu la CCM. Mwisho wa uchaguzi matokeo ni CHADEMA kupoteza mbele ya tume huru ya uchaguzi kama ilivyo kuwa kwa Malema na ANC.
Kwani uchaguzi wa mwaka huu hauna mbwembwe na matarumbeta.
Pili hakuna mikakati na sera kuelekea ushindi wowote.
Ccm imewakusanya wapiga kura toka kwenye korosho hadi Mama lishe kwa vitabumbulisho
Endelea kuchagua ccm iwaletee maendeleo, moba juzi juzi mnakimbizana na vitaHuku Kahama ni bora tuwachague CHAUMA kuliko ma chadema majizi, kelele nyingi, blah blah tupu,ukanda, ukabila. Huku hampati kitu wazee sisi sio wajinga wajinga
Chadema tuko macho sana. Hatutarudia kosa. Kuja waje lakini vyeo hakuna.Ni kweli unajua kwa sasa hali ilivyo Ccm inazalisha watu wanao pelekwa upinzani na kuaminiwa sana hii pia inapelekea upinzani kuwa sehemu ya chama tawala
Na hii inahitaji umakini kuwajua watu wa aina hii
Sawa nimesema tu kama angalizoEndelea kuchagua ccm iwaletee maendeleo, moba juzi juzi mnakimbizana na vita
Chadema tuko macho sana. Hatutarudia kosa. Kuja waje lakini vyeo hakuna.