Unadhani sisi wote ni mazuzu kama nyinyi?
Mkisha zitia moto hizo pikipiki za cdm ndiyo itaweza kuipandisha thamani ya shilingi ya tanzania dhidi ya dola ya kimarekani?
Hata koroshoYaani tuishie kununulia madafu tu?
Wewe upo kwenye kundi la mwisho hapo kwenye sentensi yako
Kama mnavyofyatuliwa hapo lumumba?Chama ni mradi halali wa Mbowe sasa nyinyi kaeni vimbele mbele muone mnavyo fyatuliwa.
Eewalaa..Teh teh teh teh yaani zile walizoambiwa jamaa wazibangue kwa majino?View attachment 1099444
Subiri muziki uache kelele hizo. Leo wameitwa kupewa maagizo mapya na mkulu wao. Jizi ni jizi tu hata likiwa ccmWanajiundia wenyewe tu
Leo wanahamia kwa wakurugenzi wa almashauri kuwa wanaiba kura!
Sasa mbona akina Zito, Mbowe nk pamoja na lundo la madiwani nchi nzima walirangazwa washindi na wakurugenzi haohao!
Mbona unateseka sana?
Hata zikioza poa tuuZimekwisha watoa show
Wacha kuteseka fanya kazi ujitafutie ridhiki kwani kuramba chakubanga miguu siyo dili
Wilaya imeshiba rasilimali huku wananchi wa kahama wakiogelea kwenye umasikini. Mbwa nyie. Hata hamjitambui.Waambie na wenzio mapema kabisa wakija huku waje na sera zilizo shiba kama Wilaya yetu ilivyo shiba ki rasilimali otherwise tutawakimbiza kama wezi.