CHADEMA twazidi kujiimarisha

CHADEMA twazidi kujiimarisha

Nipo mkuu tunashuhudia mafuriko huku baadhi ya makada wa chama chetu ccm wakiamua kujivua gunia jeusi na kuanza kuikosoa sirikale
Hiyo ni kawaida ila kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa huko kwetu

Kuna vitu huwa vinahitaji kuvifanyia tadhimini kabla ya kuzipa uzito

Ccm wanatumia nguvu ya kuwaanda watu wa kuwahadaa wananchi kwa kuonekana wao wanawatetea wananchi ila kwa hali halisi ni kinyume chake

Kauli za wana Ccm usizipe uzito ila zipime katika mizani ya fikira

Ukifuatili mambo yao ni kwaajili ya matumbo yao na familia zao na si kwa wananchi wanao wasema kwenye midomo yao
 
Hilo wala kwetu hatulipi nafasi maana hizo ndiyo nyimbo zao na mwisho wa siku wanaishia kusifia kila kitu

Ni kweli unajua kwa sasa hali ilivyo Ccm inazalisha watu wanao pelekwa upinzani na kuaminiwa sana hii pia inapelekea upinzani kuwa sehemu ya chama tawala

Na hii inahitaji umakini kuwajua watu wa aina hii

Nakuunga mkono kwa 100% maana tumejifunza sana kipindi hiki cha kuunga mkono
Ni kweli unajua kwa sasa hali ilivyo Ccm inazalisha watu wanao pelekwa upinzani na kuaminiwa sana hii pia inapelekea upinzani kuwa sehemu ya chama tawala

Na hii inahitaji umakini kuwajua watu wa aina hii
 
Baada ya kunyofoa uti wa mgongo wa wizi wa kura kwa kuondoa MA DED sasa ni wakati wa kujiimarisha
Kweli Kabisa.
Pendekezo Lingine. CHADEMA SASA WAJENGE JENGO LA KISASA LA MAKAO MAKUU YA CHAMA, MAKAO MAKUU YA NCHI, DODOMA. NA SHUGHULI KUU ZA CHAMA ZIWE DODIMA.
 
Biashara ya mbowe inaendelea kukua kumwaga Tsh 400 kwa riba kubwa sio mchezo.
 
Cdm tunaanza kuimarisha kwenye mizizi tukisha imarisha huko ndiyo tunamalizia na huku juu
Kweli Kabisa.
Pendekezo Lingine. CHADEMA SASA WAJENGE JENGO LA KISASA LA MAKAO MAKUU YA CHAMA, MAKAO MAKUU YA NCHI, DODOMA. NA SHUGHULI KUU ZA CHAMA ZIWE DODIMA.
FB_IMG_1556891982088.jpeg
FB_IMG_1556563884772.jpeg
 
Juhudi zote hizi za nini wakati mnajua watapindua matokeo kwasababu hamna tume huru?
 
Hata Nelson Mandela pamoja na kubezwa na makaburu na kutupwa jela miaka 27 kamwe hakukata tamaa

Back
Top Bottom