CHADEMA twazidi kujiimarisha

CHADEMA twazidi kujiimarisha

Wacha kelele nyingi wewe, nina id yangu ya muda but nna ban. Mambo ya kujiunga hayo yapo nje ya mada husika.
Yaani umejiunga leo hii jf ili kupinga na kuonyesha chuki yako dhidi ya mafanikio ya cdm maana naona ndiyo kwanza una post ya 38
 
Kile kizazi mlikua mnasema ooh wasukuma washamba sasa kimekaa pembeni kuna lundo la vijana wa kisukuma wasomi tusio taka kuendeshwa na watu wabinafsi, wakanda tunaamua wenyewe tuifanyie nini Kahama yetu nyinyi hatuwataki kabisa
Una ban kwa kuwa akili zako za kizumbukuku ndiyo maana
 
Ifike wakati CDM chairman aendane na wakati diplomacy is no longer applicable basing on current situation there need other approaches particulary violance and brutality to partisan.
Hatuhita Sera za violence. Tufuate nyayo za Bw. Gandhi wa India. Aliamini,hata jeshi liwe na nguvu namna gani haliwezi kuushinda umma. Ndiyo maana ya kauli mbiu"peeeepleeees....." Aluta continua"
 
Back
Top Bottom