CHADEMA twazidi kujiimarisha

CHADEMA twazidi kujiimarisha

hizo siyo pikipiki nani kaziona yaani mmetuagizia mabomu muje mutu uweuwe tena kwenye chaguzi zijazo kweli mtasambaratika kama BABELI wanga nyie tena mkome
 
Jino kwa jino 2019-20 Mwendo wa Ngiri.

Tujihadhari na mashetani hayakawii kutugonga na malori yanayosomba wabibi na wadada wa vigodoro wenye madera ya mbogamboga.
 
Hapo vipo nyumbani kwa mtu, maana ofisi zinajengewa tumboni wakija kupigwa kwere na mkaguzi mkuu wanaanza kuhaha
 
Ingekuwa poyoyo ndiyo mgekuwa mnakesha kuwaundia mizengwe?
Wanajiundia wenyewe tu
Leo wanahamia kwa wakurugenzi wa almashauri kuwa wanaiba kura!
Sasa mbona akina Zito, Mbowe nk pamoja na lundo la madiwani nchi nzima walirangazwa washindi na wakurugenzi haohao!
 
Back
Top Bottom