General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
Hizo polisi watazijaza central
Kuelekea chaguzi zinazo kuja na kuzidi kukiimarisha chama cdm tumeingiza pikipiki 200 ili kurahishisha usafiri kwa watendaji wetu ili tukiimarishe chama.
Hapa chini ni mzigo huoView attachment 1099082View attachment 1099083
Tanzania kusingekuwa na uvccm kamwe kusingekuwa na hilo neno ZUZU
Wekeni uhuru wa kufanya siasa muone kama cdm imejifia au ipo hai
Ushazoea kufyatuliwa na chakubanga unafikiri wote ndiyo tabia yetu?
Mimi kama mtanzania mwenye kujielewa kamwe siwezi kuipigia kura ccm
Sema kwa niaba ya waramba miguu wa chakubanga
Hatuhitaji shilingi kukua!!Kwahiyo hiyo ndiyo itasaidia kukua kwa shilingi ya Tanzania?