Sidhani kama Lisu atapata nafasi na kuomba nafasi ya Urais ndani ya ardhi ya Tanzania Chini ya Magufuli.
Yaani Magufuli amruhusu Lisu wapambane kwa hoja jukwaani thubutu.
Lisu ni msomi mjenga hoja na hoja kuzijibu ujipange sana. Kuna wakat natamani nirudi utotoni nipige kitabu kama hyu nguli!! Kiukweli Vijana wengi ni wafuasi wa Lisu. Kama CDM wanataka royalty ya wanachama iongezeke wampe karata hyu MTU!!
siku anakuja RAIS nchi unasimama, police pigeni mabomu hadi mchoke hamtatuweza..,CHADEMA,
Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu.
Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu.
Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey, Wine na nyingine.
Mtanange huu utakuwa burudani tosha tu kama CDM mtapitisha huyu Lissu aliyeponoea chupu chupu. Mleteni tafadhari upesi aje amjambishe Pombe… Tafadharini sana , mleteni upesi, ni yeye tu anaye mumudu na sio Membe wala mwingine.
pombe, kura yangu unayo ikiwa tu utaahidi na kutekeleza yote yanayosemwa na wapinzania wako- Tume huru ya uchaguzi, katiba mpya, haki za kuishi na binadamu, uhuru wa kujieleza , kukubali kukoselewa, kutowaonea watu kwa kesi za kubumba na kutowapa dhamana na mengineyo mengi... haya ukiyafanya bila vitisho, basi maendeleo yote ya vitu uliyofanya yatakuwa na maana zaidi na heshima yako itakumbukwa hadi mwisho wa ulimwengu, sifa zako zitaenea kama za baba wa Taifa.. si ni hayo unayotaka au nimekosea?
@ Chadema,mMkifanya makosa ya 2015- yale ya Lowasa na gia za angani (kama zipo au la), hata mimi na team yangu nitampigia Pombe . Ni hayo, mwenye kusikia na asikiye, mwenye kuona na aone, mwenye kuguswa na aguswe na mwenye wivu anywe simu , ni maoni yangu, ruksa kutofautiana bila mkwaruzo wala matusi.
Hoja ya kumpambanisha TL na JPM ni mfu kabisa.CHADEMA,

Hoja ya kumpambanisha TL na JPM ni mfu kabisa.
2015 ilikuwa mabadiliko mwaka huu mnapambanisha TL na JPM, mtu kwa mtu?
JPM anahitajika na WATZ kuliko kitu chochote.
Sidhani kama Lisu atapata nafasi na kuomba nafasi ya Urais ndani ya ardhi ya Tanzania Chini ya Magufuli.
Yaani Magufuli amruhusu Lisu wapambane kwa hoja jukwaani thubutu.
Why?Hon.Lissu is he not a Tanzanian?Is Hon.Magufuli responsible to decide who are other Presidential elections contestants from different political parties?Why him?Why not Lissu?Sidhani kama Lisu atapata nafasi na kuomba nafasi ya Urais ndani ya ardhi ya Tanzania Chini ya Magufuli.