ngenya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,346
- 1,818
Hilo jengo kuita mafanikio ni madharau.CHADEMA haters mnachukia sana mafanikio ya hiki chama.
Hilo jengo kuita mafanikio ni madharau.CHADEMA haters mnachukia sana mafanikio ya hiki chama.
CCM walijenga ofisi ipi hapa Tanzania ya Tanganyika au Zanzibar?Umesema wamejenga wananchi halafu unaita ni mali ya chama, huu utapeli unawasaidia nini?
Ukija na hoja za kutengeneza ajali, jiandae na ajali zaidi. Hapo ni lazima umeze maneno yako.Yale yale, kwahiyo tuige au tukemee?
Umesema wamejenga wananchi halafu unaita ni mali ya chama, huu utapeli unawasaidia nini?
Mikoani kuna ofis nzuri za chadema kuliko hata ile ya Makao makuu
Sawa BosiHayo ni maoni yako ambayo tunaweza kukupuuza vile vile, wewe unafikiri hati za umiliki zitaandikwa chama cha wananchi?
Kwanza chama cha wananchi ni CUF.
UKICHANGA TU ZINA LIWA ZISHALIWA MILIONI MIA ZA SABODO NA MBOWE HATA MFANYEJE HILO NDIYO ZINDIKO LENU CHADEMA IKIJENGA OFISI NZURI TU INAKUFA KABISANi kweli inabidi chadema Sasa tufanye harambee awamu ya kwanza tujenge ofisi ya makao makuu.
Anasema zilijengwa na Tanu yenyewe na sio wananchi...TagaLumumba bhanaM
Kwani ofisi za Tanu alijenga nani
safi sanaHilo jengo lote ni mali ya CDM.
Chuki kusema ukweli?CHADEMA haters mnachukia sana mafanikio ya hiki chama.
Enzi za TANU ilikuwa lazima, mnataka tuamini hivyo?M
Kwani ofisi za Tanu alijenga nani
Hao ni very complicated !Vipi; hao wanawake wa peoples power ni free agents au ni taken au ni complicated!
Nenda kachimbe mashimo chatoChuki kusema ukweli?
Hela ya Sabodo iko wapi
Michango ya Wabunge last term inayokadiriwa 4bilion iliyopelekea baadhi wakajitoa chadema iko wapi
Wewe una taarifa ya Join the chain?
Unajua kwa nini toka Mbowe atoke gerezani Lissu ameacha kuhamasisha join the chain?
Tulijenga viwanja vya mpira karibu mikoa yote,ofisi nyingi karibu mikoa yote kwa kutumia nguvu za WANANCHI...Leo hii eti vyote hivyo ni Mali ya MA CCM...JE HUO NAO NI UTAPELI?TUANZIE HAPOUmesema wamejenga wananchi halafu unaita ni mali ya chama, huu utapeli unawasaidia nini?
LinapenHata mbuyu ulianza kama mchicha.
Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania.
Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk kijiji cha Isenengeja wilayani Misungwi.
Hapo ni nguvu za wananchi tu zimetumika .
Hakika CHADEMA tunazidi kuimarika sasa tuanze kutembea kifua mbeeeeereeeee tupo kwenye raiiiitiiiii tiraaaaakiiii.
View attachment 2241860