PostGE2025 CHADEMA: Tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia

PostGE2025 CHADEMA: Tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
"Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka kuanzishwa kwa serikali ya mpito " Mh. John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 11,2025.

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche akizungumzia Maazimio ya Kamati Kuu ya Chama hicho leo Desemba 11, 2025.
 
Ndiyo maana Chadema nawakubali, wanasikiliza tunataka nini. Samia akae pembeni, tufanye uchaguzi upya kwa tume huru. Akitaka agombee
 
Kamanda Heche, jiandae kwa vichambo. Nimekaa pale nasubiria Bi Hadija Kopa atoke studio.
 
"Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia" Mh. John Heche
Kachanganyikiwa huyu mhuni!! Alifikiri kuongoza chama ni zile kauli zao za kishenzi walizoharisha kipindi cha uchaguzi wao sio!!

Sahivi wamebaki wametawanyika wasijue chakufanya!! Tunaziita fools erands au harakati za pimbi!!
 
Wewe ndiwe umechanganyikiwa, huwezi kuwa chawa ukawa na akili sawasawa maana unakuwa driven na tumbo
 
Wewe ndiwe umechanganyikiwa, huwezi kuwa chawa ukawa na akili sawasawa maana unakuwa driven na tumbo
Nyie na kina Heche mmechanganyikiwa au mmeishiwa pawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 enhe Habil anasemaje? Yaani hii CDM tuliyoitolea jasho na damu leo inaongozwa na wahuni wa mtandaoni kina Habil na wale malaya??
 
Picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, ikidai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche, ameiomba serikali kuanzisha serikali ya mpito ni ya uongo na inapotosha.

634948027_122195983526383154_3784284408012937815_n.jpg
 
Back
Top Bottom