CHADEMA tukichukua nchi 2015 tuifanye nini CCM?

Chadema hi hatari sana,wanawaza visasi tu,hii nchi wakiichukua si itakuwa vurugu tupu?kwa nn musiulize Mandela aliwafanya nini makaburu baada ya kuchukua dola.
 
Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,

without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,

tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???

1.tuwafunge?

2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?

3,tuwapeleke the hague?

4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??

Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??

Hivi maovu ya CCM ni zaidi ya makaburu wa Afrika ya Kusini? Mandela angefanya hivyo ile nchi ingetawalika??? Tafakari chukua hatua....
 
Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,

without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,

tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???

1.tuwafunge?

2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?

3,tuwapeleke the hague?

4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??

Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??
CHADEMU ikiingia ikulu wewe utakuwa bodyguard wa Josephine.
 
Chadema hawawezi kuchukua hii nchi hata wakiota ndoto za mchana lakini kama ingewezekana wachukue mimi nisingependa siasa za visasi kwa maana mwenye kisasi ni mbaya kuliko fisadi na ataanguka haraka ktk utawala wake. Kuwapiga marufuku wasishiriki siasa na kufuta chama chao sio mbaya ila tunahitaji mtawala msuluhishi atakaetokomeza ufisadi kwa sera na wala sio kwa mtutu wa bunduki. Mtu wa visasi ataivuruga nchi na kuvuruga uchumi kama ilivyotokea enzi za Sokoine.
 
Ikuluuu...ikuluuu,kunani Ikulu? Mi nashauri mkichukua,msimwache Prof Lipumba,Mtatiro,John Pombe, Mwakyembe,na Makamba...
 
mi nashauri wasifanywe chochote cha kukomoana labda kama kweli tuhuma zimethibitika ndio sheria ichukue mkondo wake vinginevyo cdm itekelezr ahadi zake kwa wananchi ili wajitofautishe na ccm waingie uvunguni kwa aibu huku wakijiuliza kumbe tanzania bila ccm inawezekana.
 
Hahahah wanichekesha kweli, huyo joti hata zipite karne hawezi kunifikia kwa upeo,mbuzi atabak kuwa mbuzi! so wewe kutumia mfano wao yaonyesha ni aina gani ya watu wanao influence fikra zako,badilika this is 2013....
Unafikiri akina Joti wana upeo finyu? Kwa mtazamo wangu utakuwa umekosea sana. Unafikiri katika hicho kichekesho hapo, ni kipi unachokipinga, huoni funzo lolote? Kama ni hivyo sijui ni nani sasa atakayekuwa na upeo finyu kati yako wewe na kina Joti?

Ciello, naheshimu mawazo yako na pia inanikumbusha huu msemo:

“If you can find something everyone agrees on, it’s wrong.”
-Mo Udall
 
Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,

without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,

tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???

1.tuwafunge?

2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?

3,tuwapeleke the hague?

4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??

Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??

Wanaotenda maovu ndani ya CCM ni mmoja mmoja, kila mmoja atakayethibitika kwa uovu hatua zitachukuliwa individually.

Huwezi kuchukua hatua kwa chama chote. Hatua zitachukuliwa kwa waliotenda maovu na mafisadi watarudisha pesa zote na palipo ushahidi wa wizi/ufisadi watachukuliwa hatua kama Wezi wengine
 
Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,

without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,

tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???

1.tuwafunge?

2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?

3,tuwapeleke the hague?

4.tuwafilisi mali zao?

5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??

Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??

Tuanzie na point namba 4 kasha tumalizie na watoto wao na familia zao. Anza na JK, EL, kuwataja wachache na watoto wao wote maana wametuibia sana na kutuhujumu mali zetu zote.
 
Hahahah wanichekesha kweli, huyo joti hata zipite karne hawezi kunifikia kwa upeo,mbuzi atabak kuwa mbuzi! so wewe kutumia mfano wao yaonyesha ni aina gani ya watu wanao influence fikra zako,badilika this is 2013....

tell them
its almost 2yrs to go
 
CHADEMU ikiingia ikulu wewe utakuwa bodyguard wa Josephine.

SI BORA MIMI KWA KAZI HIYO NITALIPWA??

wewe unakesha lumumba kufua nguo za kijani za nape na baba mwanaaasha unapata nini??
 
Huyu jamaa anaropoka tu kaishapigaaa viroba vyake vya ZED na Tyson.

i told you before that,,

dawa ya watu wenye akili mbovu kama wewe ninayo mimi
utashika adabu zako tuh
mm ndie kiboko yenu nyinyi na masalia wote
 
si ulihitaji malumbano ya hoja??
sasa BACKUP UNAYOIOMBA YA NINI??

Wala mie sijakujibu wewe mie nilikuwa namjibu Molemo, analalamika nakushambulia wewe...mie nipo tu wala usihofu.
 
Last edited by a moderator:
i told you before that,,

dawa ya watu wenye akili mbovu kama wewe ninayo mimi
utashika adabu zako tuh
mm ndie kiboko yenu nyinyi na masalia wote

ha haa haa...
Nimecheka sana JF kuna vituko.

Karibu sana JF.

Warembo nayo eti wanapiga mkwara.
 
Back
Top Bottom