Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,762
- 46,272
hebu soma kichwa cha uzi uliouleta hapa wewe mwenyewe halafu linganisha na ulichoandika hapa.
Huyu jamaa anaropoka tu kaishapiga viroba vyake vya ZED na Tyson.
hebu soma kichwa cha uzi uliouleta hapa wewe mwenyewe halafu linganisha na ulichoandika hapa.
1. Uza mashangingi yote2. Taifisha mali zao walizochukua kwa wizi3. Weka serikali ya majimbo, kila jimbo litambue vitega uchumi vyake na kuvisimamia ipasavyo.4. Kuifungia ccm milele.5. Kutoa shughuli zote za kiserikali jijini dar es salaam na kuzihamishia dodoma.6. Kufufua miradi mingi iliyokufa chini ya ccm kama reli, bandari za mtwara na tanga, ndege na mashirika ya umma.7.................
Huyu jamaa anaropoka tu kaishapiga viroba vyake vya ZED na Tyson.
Kila kitu kina chimbuko na mara nyingi huwa ni sehemu moja. Chimbuko la CCM ni TANU. Chimbuko la TANU ni TAA. na TAA chimbuko lake lilikuwa Dar (sina uhakika sana). Kwa hiyo Chimbuko la CCM ni Dar yaani mamwinyiNakubaliana na wewe lakini kumbuka Chadema chimbuko lake ni kaskazini.
Furaha iliyojee
kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko
hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,
without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo
2015,
tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???
1.tuwafunge?
2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?
3,tuwapeleke the hague?
4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili
kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo
mitano sasa??
Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa
mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu
gani??
sawa
si ndivo akili na upeo wako umeishia hapo??
chiz ni chiz tuh,hasumbui akili zetu sisi
Hivi hawa ndiyo viongozi wa Chadema ambayo wanatumiwa mitandaoni kukitangaza chama. Wahuni kama hawa kweli ndiyo wanatoa matamko ya Chadema.
Kila kitu kina chimbuko na mara nyingi huwa ni sehemu moja. Chimbuko la CCM ni TANU. Chimbuko la TANU ni TAA. na TAA chimbuko lake lilikuwa Dar (sina uhakika sana). Kwa hiyo Chimbuko la CCM ni Dar yaani mamwinyi
Jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo JF wanasoma Great Thinkers.
ni bora kuwa na wahuni tunaojitambua kama sisi kutumiwa na chadema,
kuliko kuwa na wendawazim njaa kali kama nyinyi na msiojitambua
wahuni siku zote wanajitambua,wachumia tumbo na mataahira kama wewe tukichukuua nchi hii tutawarudisha milembe mlikokimbia matibabu
Ni kweli unachosema hakuna ubaya mie nikisema nguvu ya Chadema ipo Kaskazini.
na mwisho wa wavivu wa kufikiri kama wewe siku zote huwa ni mbaya
Ni kweli kabisa bora nyie wahuni ambao mnapora wake za watu halafu amtaki kuoa.
Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,
without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,
tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???
1.tuwafunge?
2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?
3,tuwapeleke the hague?
4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??
Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??
ni kweli kila kitu kina chanzo. Hata TANU ilikuwa hivyo. Kwa sasa Chadema inashuka taratibu. Muda si mrefu itaenea nchi nzima kama haijaenea tayariNi kweli unachosema hakuna ubaya mie nikisema nguvu ya Chadema ipo Kaskazini.
haijalishi wapi chadema ilianzia,
hoja mama ni kuikomboa nchi hii 2015
naona mnalia na kusaga meno
"naomba tuwasamehe kwani hawajui walitendalo"Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,
without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,
tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???
1.tuwafunge?
2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?
3,tuwapeleke the hague?
4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??
Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??
Hili bado halijaruhusiwa labda mliweke kwenye katiba mpya iwe kama malawi tuna hata wewe ukihitaji tukuoe tutakuoa pia
vipi uko tayari kwa hilo??
Narudia tena jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo JF kuna watu makini.