chubio
Senior Member
- Jun 21, 2012
- 106
- 16
Chadema wanadhani Watanzania wote ni Chadema...wanajidanganya sana Chadema siyo chama cha siasa ni kikundi cha watu fulani kutoka kaskazini.
unahitaji msaada wa dharula
Chadema wanadhani Watanzania wote ni Chadema...wanajidanganya sana Chadema siyo chama cha siasa ni kikundi cha watu fulani kutoka kaskazini.
unahitaji msaada wa dharula
We kila siku huwa unabwatuka ujinga tu shame 2 u
Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,
without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,
tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???
1.tuwafunge?
2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?
3,tuwapeleke the hague?
4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??
Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??
Tukifute kabisa katika daftari la msajili wa vyama.
Tukifute kabisa katika daftari la msajili wa vyama.
Pamoja saaanaNi mapema sana kusema CHADEMA itaingia ikulu 2015 !kumbukeni sio kwamba ccm wamelala wao wanajipanga pia wanamikakati yao.
Ieleweke wazi kuwa kukitoa chama tawala madarakani si kazi rahisi kama mvoweza kufikiria au mnavoweza kupanga kirahisirahisi hivo.
Wao wanamiliki vyombo vyote vya usalama pia vyombo vyenye mamlaka ya kutangangaza ni nani alieshinda katika uchaguzi furani hivyo inahitaji kujipanga tofauti na wengi wenu mnavoweza kufikiri.
Kwa wale tulioshiriki katika uchaguzi wa 2010 tunajua jinsi ya mfumo wa kura tatu tulivoweza kuutumia na mh.mnyika kuweza kuchukua jimbo kwa kura zile! Swali la msingi la kujiuliza je chadema tunauwezo wa kulinda kura kwa mfumo wa kura tatu tatu nchi nzima???jibu kila mtu atafakari!hivyo inahitaji kujitoa mhanga sio kuongea tu!!
Kwa wale wanaomfuatilia waziri mkuu wa kenya Laira odinga ikumbukwe kuwa alihangaika saana kudhoofisha KANU ndio maana sasa hivi kwa njia ni nyepesi kwetu sisi sioni jitihata za dhati na za kutumia akili nyingi za kudhoofisha ccm!hivyo chadema kuona ikulu 2015 ni kazi sanaa tusidanganyane hapa!
Nmezunguka vijijini bado chadema sio maarufu kabsa kama ni maarufu basi ni kwa wale watu ambao hawana hada vitamblisho vya kupigia kura sasa chadema itaingiaje ikulu???
Elimu inahitajika saana kwa jamii pia watu walio pikwa wahahitajika saana kupelekwa sehemu mbalimbali za nchi ili angalau idadi ya wabunge iongezeke!!
Ccm inashikiria idara zote vyeti za fedha!kumbuka kushinda na mtu mwenye hela ni kazi saana kumshinda ndo maana mtu mwenye hela anasikilizwa zaidi kuliko maskini angalia nchi zenye uchumi mkubwa duniani zinavosikilizwa na walivo na maamuzi!
Tunahitaji kujipanga saana tofauti na uhalisia wa kuwa na mashabiki wengi kwenye mikutano