CHADEMA tukichukua nchi 2015 tuifanye nini CCM?

CHADEMA tukichukua nchi 2015 tuifanye nini CCM?

ok! if you think that arguing is madness; you may shout! kwa sababu hata hivyo debe tupu haliachi .........................!

INSHORT WEWE NI :loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco:
 
Itabidi CCM kiimarishwe kiwe chama makini cha upinzani, bila hivyo chama tawala (CDM) kitabweteka na kuangushwa! (rejea Kenya, Zambia nk)
 
Chadema wanadhani Watanzania wote ni Chadema...wanajidanganya sana Chadema siyo chama cha siasa ni kikundi cha watu fulani kutoka kaskazini.
 
sisi hatuombi kula kama nyinyi ccm

sisi tunaomba kura kwa wananchi
Hahahah .Tofauti ya sisiem na sidiem ni rangi tu. wote wanataka kula tu. Sema labda kwenye ulaji ndiyo kutakuwa na tofauti. wengine watakaa majamvini na wengine mezani
 
Chadema wanadhani Watanzania wote ni Chadema...wanajidanganya sana Chadema siyo chama cha siasa ni kikundi cha watu fulani kutoka kaskazini.
Ukiwa binadamu lazima uwe na dini au kabila. Kwani CCM hakuna wanaotoka kaskazini??
 
chadema wanadhani watanzania wote ni chadema...wanajidanganya sana chadema siyo chama cha siasa ni kikundi cha watu fulani kutoka kaskazini.

na allah hamuongoi mtu ambae kaamua kujipoteza mwenyewe
 
itabidi ccm kiimarishwe kiwe chama makini cha upinzani, bila hivyo chama tawala (cdm) kitabweteka na kuangushwa! (rejea kenya, zambia nk)

tuifute tuh ccm moja kwa moja
kimetuhujum sana
 
Wewe endelea kupaka rangi maandishi ndiyo kazi inayokufaa humu JF.

je nikufamishe biashara ambayo inaweza kukuepusha na adhabu kali iumizayo??
nadhan unaifaham,basi ni bora kwako kuifanya iyo kuliko kuendelea tumika sana ccm
 
1. Uza mashangingi yote2. Taifisha mali zao walizochukua kwa wizi3. Weka serikali ya majimbo, kila jimbo litambue vitega uchumi vyake na kuvisimamia ipasavyo.4. Kuifungia ccm milele.5. Kutoa shughuli zote za kiserikali jijini dar es salaam na kuzihamishia dodoma.6. Kufufua miradi mingi iliyokufa chini ya ccm kama reli, bandari za mtwara na tanga, ndege na mashirika ya umma.7.................
 
je nikufamishe biashara ambayo inaweza kukuepusha na adhabu kali iumizayo??
nadhan unaifaham,basi ni bora kwako kuifanya iyo kuliko kuendelea tumika sana ccm

Afadhali saizi upaki rangi maandishi.
 
je nikufamishe biashara ambayo inaweza kukuepusha na adhabu kali iumizayo??
nadhan unaifaham,basi ni bora kwako kuifanya iyo kuliko kuendelea tumika sana ccm
hebu soma kichwa cha uzi uliouleta hapa wewe mwenyewe halafu linganisha na ulichoandika hapa.
 
hebu soma kichwa cha uzi uliouleta hapa wewe mwenyewe halafu linganisha na ulichoandika hapa.

hilo jibu nilikua namjibu mtu mwehu mwehu kama wewe
je,nawewe unataka majibu kama hayo??
 
Back
Top Bottom