Nakubaliana na wewe lakini kumbuka Chadema chimbuko lake ni kaskazini.
tukifute kuwa chama cha siasa na kutaifisha mali ambazo zilitokana na jasho la watanzania enzi za chama kimoja.nitashiriki kushinikiza na kushawishi mchakato kama unaondelea nchini zambia wa kukifuta chama tawala cha zamani cha mmd uanze kwani hulka na mazingira ya uwepo wa ccm na mmd kuna correlation
Mkuu Ritz,hilo si la kuuliza kwani wameshaanza wakichukua nchi itakuwa ni muendelezo tu.Kwa hiyo mkichukuwa dola itakuwa ni amri tu kuchukuwa wake za watu kama mnavyofanya hivi sasa.
madam ujumbe wangu unaupata herufi its not a big deal
nitakufunza adabu tuh,kama hukufunzwa na mama yo nitakufunza mimi leo,kisha ukawasimulie
you are seriously insane
you have seriously disorders in your medulaoblangata young madam
tena hili zoezi lilitakiwa lifanyike wakati wa kuasisi vyama vingi.Tukifute kuwa chama cha siasa na kutaifisha mali ambazo zilitokana na jasho la watanzania enzi za chama kimoja.Nitashiriki kushinikiza na kushawishi mchakato kama unaondelea Nchini Zambia wa kukifuta chama Tawala cha zamani cha MMD uanze kwani hulka na mazingira ya uwepo wa CCM na MMD kuna correlation
Kwani ccm ilianzia wapi?
Mkuu Ritz,hilo si la kuuliza kwani wameshaanza wakichukua nchi itakuwa ni muendelezo tu.
Hata mie naiombea chadema hivyo, naona mafisadi wafilisiwe mali zao waachiwe kiasi kinachoendana na vipato vyao ambayo vinaeeleweka kupitia mishaara. mali zao zilizofilisiwa zitumike kwa uwazi na kuzifanyia maonesho yenye publicity kali ili wananchi waone thamani ya mali yao iliyoibiwa. mafisadi waachwe wajionee wenyewe na uso utawashuka na watajuta na hatimae kuwa raia wema.
Hii thread inanikumbusha moja ya vichekesho vya ZeComedy origino; Kulikuwa na vijana wawili na mmojawapo akamuuliza mwenzake
>>itakuwa vipi kama mimi nikiona hela njiani nikauonesha halafu wewe ukawahi kuziokota? Tutagawana vipi?
>>yule wa pili ambaye hypothetically aliziokota akamwambia sikupi kitu, mimi si ndiye niliyeziokota
>>Kijana wa mwanzo akamwambia lakini mimi ndiye niliziona kabla ya wewe.
>>Majibizano yakaendelea, mmoja akaaza kumtukana mwenzake mpaka ngumi zikaanza kati ya vijana hawa wawili.
>>Akatokea mzee mmoja akawaamulia halafu akawauliza chanzo cha ugomvi wao, kila mmoja akaanza kuelezea.
>>Mzee akacheka sana na kuwapa maneno ya busara ili waache ujinga waliokuwa nao.
Nafikiri mmenielewa ee vijana 'great thinkers'? Msije mkatowana ngeu bure. Its almost three years to go.
Cc..to Mkuu Molemo,ni bora kuwa na wahuni tunaojitambua kama sisi kutumiwa na chadema,
kuliko kuwa na wendawazim njaa kali kama nyinyi na msiojitambua
wahuni siku zote wanajitambua,wachumia tumbo na mataahira kama wewe tukichukuua nchi hii tutawarudisha milembe mlikokimbia matibabu
Kamuulize Nape.
Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,
without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,
tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???
1.tuwafunge?
2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?
3,tuwapeleke the hague?
4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??
Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??
Yan kwa upeo wako finyu unatuletea mifano ya kina joti hapa? Are u serious?? Dawa yenu wana magamba na wezi wote ni kuwapoteza kwenye uso wa dunia!!!