THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,781
- 15,139
- Thread starter
- #121
hiyo style ya kusema mie mie chunguza na upime kwa makini na ujitosheleze,je wanaume marijali huwa tunaongea kwa style hizo??Wala mie sijakujibu wewe mie nilikuoswa namjibu Molemo, analalamika nakushambulia wewe...mie nipo tu wala usihofu.
mie mie ndio nini??
hebu kaza sauti mtoto wa kiume,au wewe ni,,,,,,,,,,,,,,???