CHADEMA tukichukua nchi 2015 tuifanye nini CCM?

CHADEMA tukichukua nchi 2015 tuifanye nini CCM?

Wewe ujiona lakini watu wanakusoma.

Watanzania wanaitaji nguvu ya umma yenye kiu ya manendeleo, na si nguvu ya umma yenye kiu ya kuvunja amani ya nchi yetu.

Kupora mali za watu majumbani na madukani hii inayohamasishwa na Dr Slaa na Mbowe.

Nguvu ya umma yenye kitambulisho cha mpigakura na si nguvu ya umma inayoandamana barabarani kutaka mabadiliko.

eti amani .... ptuuu ... mlivyochoma makanisa na genge lenu la sheh ponda-mali na kuiba vitu vya kanisa .... hiyo ni amani eee
 
fikiria jinsi yakuondoa umaskini

The cause of umasikini wetu ni ufisadi so kwakua tunafikiria jinsi ya kuwaondoa mafisadi then automatically ndiyo tuna uondoa umasikini wetu..Utaondoaje roots alafu mti ubakie ukistawi?
 
eti amani .... ptuuu ... mlivyochoma makanisa na genge lenu la sheh ponda-mali na kuiba vitu vya kanisa .... hiyo ni amani eee

Mjadala umeishavamiwa na wahuni wa Chadema.
 
Nimefurahia mada kwani inaonesha ni kiasi gani watu wanaipenda nchi yao, na pia kuitabilia mema kwa baadae.kiukweli kama CDM itakapochukua nchi hii 2015 jambo la kiungwana kwa watanzania ni kuwafilisi mafisadi wote, na pia kuwafunga walio ifikisha nchi hii katika hali hii mbaya ya kiuchumi na kimaisha (jamii) watu hao ikiwemo Ritz1 ambaye anajimilikisha makampuni kibao na Mshua amabaye haoneshi kujali matatizo ya watu.
 
nimefurahia mada kwani inaonesha ni kiasi gani watu wanaipenda nchi yao, na pia kuitabilia mema kwa baadae.kiukweli kama cdm itakapochukua nchi hii 2015 jambo la kiungwana kwa watanzania ni kuwafilisi mafisadi wote, na pia kuwafunga walio ifikisha nchi hii katika hali hii mbaya ya kiuchumi na kimaisha (jamii) watu hao ikiwemo ritz1 ambaye anajimilikisha makampuni kibao na mshua amabaye haoneshi kujali matatizo ya watu.



safi saana mkuu
mesegi imemfikia muhusika
 
wasubir 2050 ndipo wazungumze hayo na hawafai kupewa nchi coz hawafikirii kuwasaidia watanzania zaid ya ku deal na ccm wapuuzi sana CHDM
 
hatutawafanya chochote, tutapoteza muda, ni kazi mtindo mmoja kuiweka nchi yetu sawa, wajifunze kwa kushuhudia. kama kuna adhabu yoyote basi Mungu atawalipa, kwa sababu anawafahamu vizuri zaidi kuluko tunavyowafahamu sisi, kuwang'oa ccm ni adhabu tosha, ukitafuta adhabu nyingine itakuchosha hata wewe mtoa adhabu kwa kuwa, waking'ooka tu, wengi watakuwa na hali mbaya.
humwoni yule wa misri?! sasa unamwadhibuje mtu anayeletwa ndani ya machela, anakuelewa?
 
hatutawafanya chochote, tutapoteza muda, ni kazi mtindo mmoja kuiweka nchi yetu sawa, wajifunze kwa kushuhudia. kama kuna adhabu yoyote basi Mungu atawalipa, kwa sababu anawafahamu vizuri zaidi kuluko tunavyowafahamu sisi, kuwang'oa ccm ni adhabu tosha, ukitafuta adhabu nyingine itakuchosha hata wewe mtoa adhabu kwa kuwa, waking'ooka tu, wengi watakuwa na hali mbaya.
humwoni yule wa misri?! sasa unamwadhibuje mtu anayeletwa ndani ya machela, anakuelewa?


sawa
lakini hata kuwafilisi tusiwafilisi??
 
Chadema ilishatangaza kuhakikisha nchi hii hatawaliki tena, lakini kwa miaka mitatu tangu watoe tangazo hilo nchi yetu iko imara. Inatawalika, amani na utulivu vimetawala kila kona ya nchi.
 
wasubir 2050 ndipo wazungumze hayo na hawafai kupewa nchi coz hawafikirii kuwasaidia watanzania zaid ya ku deal na ccm wapuuzi sana CHDM

Pole sana kwa maana hapo ndio mwisho wako wa kufikilia.
Ila kumbuka kwamba una potaka ku deal na tatizo lolote lazima ukijue chanzo chake ili kama kuna uwezekano udhibiti tatizo kuanzia kwenye chanzo chake. Na matatizo ya umasikini wa nchi hii yana sababishwa na SISIEM, na uwezekano wa kuidhibiti upo kwanini tusiidhibiti?
SISIEM imepoteza mvuto kwa jamii ya watanzania, hii ni kutokana na ukweli kwamba SISIEM:
A. imeshindwa kutatua matatizo ya wananchi,
B. kuwa na ahadi na sera zisizo tekelezeka,
C. kukumbatia mafisadi na wahujumu uchumi wa nchi(waziri wa SISIEM amefisidi mali za umma lakini chama kama chama hakichukui hatua zozote juu ya watu hao).

QUININE YA SISIEMU NI CDM, NA M4C NDIO SINDANO YAKE.

TULIENI MUONE MNAVYO POTEA
 
Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,

without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,

tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???

1.tuwafunge?

2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?

3,tuwapeleke the hague?

4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??

Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??

There you are the Big Show

  • Tunataifisha mali zote walozipata kwa wizi
  • Tunawashtaki na kuwafunga wote walioshiriki katika wizi
  • Wale walioshiriki kuua tembo wetu yunawanyonga hasas hasa kinana,kwa sababu wamehujumu uchumi.
  • Tutavunja network za ulaji za watoto wa MaCCM kwenye mashirika yote ya Umma.
  • Wata submit statement za net worth zao,tuta audit....wezi wote funga kule
  • Walioshiriki kwenye mauaji ya Raia kwa miaka yote tunawapeleka The Hague.
  • Mali zote za wananchi zilizokuwepo enzi za chama kimoja ambazo sasa CCM inazimiliki kwa mfano viwanja vya michezo.Vyote vinarusi serikalini
  • Tutawawajibisha wote waliofanya uzembe na kuingia mikataba mibovu ya rasilimali zetu kama madini.....
 
Chadema ilishatangaza kuhakikisha nchi hii hatawaliki tena, lakini kwa miaka mitatu tangu watoe tangazo hilo nchi yetu iko imara. Inatawalika, amani na utulivu vimetawala kila kona ya nchi.

Pole sana. Mlizoea kutawala kwa mazoea yaani kutumia mali za umma vile mnavyo taka bila kujali walio waweka madarakani. Hapa ni mwendo mdundo kila hatua tupo nanyi hatuwaachi ili tukiichikua nchi 2015 tujue Ritz1, Mshua na wenzao wanamali kiasi gani walizoziiba katika nchi hii na amezificha wapi, ili tuwashughulikie vizuri.

KWAKWELI MNAMASWALI YA KUJIBU KWA WATANZANIA.
 
there you are the big show

  • tunataifisha mali zote walozipata kwa wizi
  • tunawashtaki na kuwafunga wote walioshiriki katika wizi
  • wale walioshiriki kuua tembo wetu yunawanyonga hasas hasa kinana,kwa sababu wamehujumu uchumi.
  • tutavunja network za ulaji za watoto wa maccm kwenye mashirika yote ya umma.
  • wata submit statement za net worth zao,tuta audit....wezi wote funga kule
  • walioshiriki kwenye mauaji ya raia kwa miaka yote tunawapeleka the hague.
  • mali zote za wananchi zilizokuwepo enzi za chama kimoja ambazo sasa ccm inazimiliki kwa mfano viwanja vya michezo.vyote vinarusi serikalini
  • tutawawajibisha wote waliofanya uzembe na kuingia mikataba mibovu ya rasilimali zetu kama madini.....


kwa ufupi hakuna kulala hadi kieleweke
pamoja sana kamanda
 
Ingekuwa hoja tuifanyie nn Tanzania tungekuwa na hoja nzuri, CCM watakuwa wameadhibiwa na wananchi.
 
Tutawatupa ndani na kila j1 wanakuja kusafisha majiji yoote mchana kweupe na mimi ntaomba niwe muonyesha maeneo machafu ya jiji na nikuanzia asubuh had saa kumi jion yaani wao ni kudeki barabara na kuzibua chemba tutawatesa sana mpaka watajuta kutufahamu
 
Kwahiyo ccm ndio wenye hati miliki ya kuongoza milele?acha uboya uwe unakua nyuma yako.mbavu sana.
 
Back
Top Bottom