CHADEMA tukichukua nchi 2015 tuifanye nini CCM?

CHADEMA tukichukua nchi 2015 tuifanye nini CCM?

Chadema kinapaswa kuwaeleza watanzania itawafanyia nini endapo watanzania watakipa fursa ya kushika dola. Wao wanawaza kupambana na CCM.

kila tunapowaambia watanzania uhalisia mnakuja na siasa za majitaka na propaganda chafu,,
watanzania wakipiga kura kuwachagua viongozi wawatakao nyinyi mnakuja kuwaibia kura zao na kukimbilia kwenye tume yenu fake ya uchaguzi kujihalalishia matokeo
dawa ni kukifunga hiki chama moja kwa moja tukiiichukua nchi hii
 
Mkamia maji hayanwyi, bado mapema mno ndani ya chama chenu wenyewe hoi, mpaka katibu wa mkoa tena kwenye ngome yenu ya pili kwa ukubwa ametimua mtaweza kweli.
 
waziri wa sheria na katiba apewe tundu antipas lissu waone shughuli itakavyonoga!
 
TOKEA LINI MWANA CCM AKAWEZA KUJENGA HOJA??
ukijiona umejikita ccm basi jua fika wewe ni mchumia tumbo,profesa muhongo katudhihirishia hilo hivi majuzi,,

Chadema ajenda yao kubwa ni ufisadi ambayo watanzania wamechoshwa ndio maana uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 waliambulia viti 23 vya ubunge na Dr Slaa kupigwa chini.

Napenda unavyopamba rangi zako Mashaalah.
 
Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,

without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,

tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???

1.tuwafunge?

2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?

3,tuwapeleke the hague?

4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??

Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??
Mkuu Big Show umesahau wanaendesha nchi yetu kichawi, wanajidai eti watuloge Watanzania woote tukose ufahamu, lakini wamenoa maana tunaye Mungu aliye hai anatupigania!! Hawa wote ni kuwapeleka jela, wanaokula percent kwenye migodi, kampuni za simu(airtel), mabenki, mafuta, gesi, wezi wa EPA. RICHMOND, MEREMETA, IPTL, DOWANS, wakae tayari kwa kwenda jela na kuwafilisi mali zetu!!!

Hongereni lakini msisahau mkamia maji hayanywi.
 
Chadema ajenda yao kubwa ni ufisadi ambayo watanzania wamechoshwa ndio maana uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 waliambulia viti 23 vya ubunge na Dr Slaa kupigwa chini.

Napenda unavyopamba rangi zako Mashaalah.

kwanini mnakimbia na maboksi ya kura??
kuhusu rangi usijal,hata wewe ukitaka nikupambe nitakupamba tuh,lakini sharti suruali yako iwekwe zipu kwa nyuma,,
 
kila tunapowaambia watanzania uhalisia mnakuja na siasa za majitaka na propaganda chafu,,
watanzania wakipiga kura kuwachagua viongozi wawatakao nyinyi mnakuja kuwaibia kura zao na kukimbilia kwenye tume yenu fake ya uchaguzi kujihalalishia matokeo
dawa ni kukifunga hiki chama moja kwa moja tukiiichukua nchi hii

Chadema mnachekesha sana mnasema mmeibiwa kura cha kushangaza mmeamua kuchagua matokeo. Matokeo ya ubunge na udiwani mnayakubali, Matokeo ya Urais mnayapinga sijui mmetumia vigezo gani.
 
mkuu big show umesahau wanaendesha nchi yetu kichawi, wanajidai eti watuloge watanzania woote tukose ufahamu, lakini wamenoa maana tunaye mungu aliye hai anatupigania!! Hawa wote ni kuwapeleka jela, wanaokula percent kwenye migodi, kampuni za simu(airtel), mabenki, mafuta, gesi, wezi wa epa. Richmond, meremeta, iptl, dowans, wakae tayari kwa kwenda jela na kuwafilisi mali zetu!!!

thanks mkuu,,
mungu atasimamia ukombozi huu,na muda wa ukombozi unazid kukaribia
 
chadema mnachekesha sana mnasema mmeibiwa kura cha kushangaza mmeamua kuchagua matokeo. Matokeo ya ubunge na udiwani mnayakubali, matokeo ya urais mnayapinga sijui mmetumia vigezo gani.

hakuna matokeo mliyokwiba tukayakubali sisi
kukaa kimya ni kuepusha shari na ukomavu wetu wa kisiasa

ila wizi wenu upo wazi sana
 
kwanini mnakimbia na maboksi ya kura??
kuhusu rangi usijal,hata wewe ukitaka nikupambe nitakupamba tuh,lakini sharti suruali yako iwekwe zipu kwa nyuma,,

ha ha haa..
Umeisha ahmaki tayari kwisha habari yako uwezi mnakasha na Ritz.

Hawa ndiyo viongozi wa Chadema. Ambao wanataka watanzania wawapigie kura.
 
Last edited by a moderator:
Hahahah wanichekesha kweli, huyo joti hata zipite karne hawezi kunifikia kwa upeo,mbuzi atabak kuwa mbuzi! so wewe kutumia mfano wao yaonyesha ni aina gani ya watu wanao influence fikra zako,badilika this is 2013....

Sipendi kuwa too personal kwenye majadiliano ila kujikita kwenye hoja zaidi. Tufanye tufanye upeo wako ni mkubwa na wangu ni mdogo. Key issue ni kuwa huwezi kupoteza muda kujadili hoja za kufirika, jadili real issues.

“What a child doesn’t receive he can seldom later give.”
 
ha ha haa..
Umeisha ahmaki tayari kwisha habari yako uwezi mnakasha na ritz.

Hawa ndiyo viongozi wa chadema. Ambao wanataka watanzania wawapigie kura.

siwezi hamaki kwa hoja za kitoto unazozileta
nakuona ni mtu usiejitambua
 
acha porojo kuingia bungeni ni kukubali matokeo ya nec.

nadhani dawa yenu ninyi ni katiba mpya..
Ngoja tuingalie kama itakuwa na mkono wa baba mwanaasha au vipi
 
siwezi hamaki kwa hoja za kitoto unazozileta
nakuona ni mtu usiejitambua

Wewe ujiona lakini watu wanakusoma.

Watanzania wanaitaji nguvu ya umma yenye kiu ya manendeleo, na si nguvu ya umma yenye kiu ya kuvunja amani ya nchi yetu.

Kupora mali za watu majumbani na madukani hii inayohamasishwa na Dr Slaa na Mbowe.

Nguvu ya umma yenye kitambulisho cha mpigakura na si nguvu ya umma inayoandamana barabarani kutaka mabadiliko.
 
Mkuu yani natamani siku hiyo ifike, ntamuomba Rais Dkt.Slaa anipe ruhusu ya kushusha kosozo nzito sana kwa masalia waasi wote na nitaanza na tuntemeke na genge lake.
 
wewe ujiona lakini watu wanakusoma.

Watanzania wanaitaji nguvu ya umma yenye kiu ya manendeleo, na si nguvu ya umma yenye kiu ya kuvunja amani ya nchi yetu.

Kupora mali za watu majumbani na madukani hii inayohamasishwa na dr slaa na mbowe.

Nguvu ya umma yenye kitambulisho cha mpigakura na si nguvu ya umma inayoandamana barabarani kutaka mabadiliko.

hapo unajiona umeandika sana,,
tatizo la kukimbia shule hilo,,
iqra bismirabikah ladhii khalaq
kwanin hujaifanyia kazi aya hiyo??
 
Back
Top Bottom