Kuna haja ya kuanza kupima watu kabla ya kuja hapa jamvini!
Mkuu DABO KLICK. Wazo lako zuri sana. Tangu nimejiunga na jf nimekuwa nikiona ikizidi kuvamiwa na "MEDIOCRITY." Kuna umuhimu wa kuanzisha aina fulani ya VETTING ya nani anajiunga na community ya GREAT THINKERS