Chadema someni hapa, sio mnapapatika na kukurupuka tu...

Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

Uoga na unduminakuwili ni silaha dhalili katika mapambano ya kudai haki za wanyonge,waoga tu ndiyo watakao sababisha amani ya nchi kuvurugika kwa kuwa wao kaqzi yao kuongelea nyuma ya pazia lakini wanaogopa kudai haki yao
 
Huyu anayejiita Putin ni kicahka na mweupe kichwani. Kwanza nashangaaa mtu kwenye JF kuchukua jina kubwa lenye tija la Rais wa Urusi (PUTIN) wakati mcahngo wake hata darasa la pili ni afadhali. Tunamwambia kinagaubaga huyu na wenzake lukuki kuwa huwezi kuzungumzia au kuhubiri AMANI bial HAKI. Kawaida AMANI ni tunda la HAKI. Huyu ni zao lile lile la ufisadi wa kukamua raslimali za watanzania. Inatosha tu kusema kuwa enough is enough wawaachie watu wazinduke kwenye usingizi wapate haki yao ya raslimali. Wimbi lilopo kwa sasa haliepukiki na kina "PUTIN" wakae mkao wa kusota magerezani. Aende akachukua mgao wake wa chai na vitumbua apate fikra mpya kwani inaelekea NJAA nayo ni tatizo hapa.
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

Kwa nini usihame wewe?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom