Chadema someni hapa, sio mnapapatika na kukurupuka tu...

nahisi wewe unataka post zako ziongezeke maana sioni kama uliwaza vyema kabla ya kuandika... watu wengine acheni tabia ya kukurupuka......wewe ni nani mpaka uwapangie na kuwachagulia namna ya kuishi na jinsi ya kuchukulia mwambo... tumetofautia sana hasa jinsi ilivyo mitazamo na jinsi ya kuchukulia mambo.... na ndio maana akili yako fupi ikakufanya kufikiri MAENDELEO NI KULA UGALI TU, nahisi hata katika maisha yako ya kawaida unawaza ujinga kama huu..... nasema huo ni uzezeta tena uzezeta wa kiwango kikubwa sana,,,, KUBALI KUJIFUNZA NA KUFIKIRI KABLA YA KUANDIKA KITU MAANA HAPA SIAMINI KAMA KUNA KILAZA WA KIWANGO CHAK

hao wa ccm wamesha changanyikiwa si ulisikia jk anasema magari yameongezeka dar eti ni dalili ya watz wanaishi maisha mazuri bila kufikiri gari anazozisema ni za mitumba wajapani wamesha zichoka
 
Unajua maana ya Amani wewe? Amani ina maana gani kama maisha yanaharibiwa na wachache na kuwa magumu? Amani ina maana gani kwa mwenye njaa! Hebu futa katopic hako naona hukujua unapost nini!
 
Huna tofauti na mtu anayekaa bila kufanya kazi akiamini Mungu ni mwema atampa chakula. Umefilisika mawazo kweli, unawatisha watanzania ili waendelee kufa njaa nyie mkineemeka. SAHAU
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

Mkuu kipindi unapost hii thread ulikuwa umepiga serengeti na balimi ngapi?
 
Afu kila Mpasho anaokuja nao Mkwe.re unaamuaga kuuvamia tu bila hata kutafakar, one day akikuomba ....,lazima utampa tu (Kama bado hajafanya lakini)

Mbona nimeshampa mara mbili, mara ya kwanza 2005 mara ya pili 2010, wewe ulimpa nani? ngoja nikisie, 2005 Mbowe, 2010 Slaa, au sio?
 
Ivi ukiwa kada wa ChichieM ata uwezo wa kupambanua mambo nao hufa?????????????????
 
Putin badili jina baba, wenzio wanaotumia jina kama lako duniani ni ma great thinker inakuwaje unakuja na hoja kama muumini wa fb hapa jamvini?. Nenda Urusi utakutana na wajina wako mwambie akupe namna ya kuanzisha hoja zinazoweza kuwavuta watu kujadili.
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.
Wewe ni nani wa kuwaamrisha wanaoipenda CHADEMA waihame nchi? Na nani kasema ni CHADEMA ndiyo wasiotaka amani? Kwa nini ni CHADEMA na si wanachama wa chama chako cha wezi, vibaka, wachawi na malaya wa CCM wasiihame nchi na kuwaachia watanzania Uhuru wao ulioporwa na nyinyi wana wa shetani mwenye miguu mitatu? Mwisho kabisa ni nani aliyewapa nyinyi hatimiliki ya nchi hii kuitawala kuisifadi na kuiangamiza bila ya kupigiwa kelele?

Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.
Umesha andika ubwabwa wako. Anza kufikiri sasa. Maana inaonekana kama wewe ni extrovert
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.
Malaria hua inapanda kichwani kwa aina nyingi sana,
Nenda hospitali kijana!!
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.
Mkuu hakuna amani hapa kama mahangaiko ya maisha kibao hivi labda kuna utulivu ingawa hata huo nina mashaka sana sana kuna uvumilivu tu ndio maana hata huo ugali unaosema unapata. Muhimu si kuhama, maana uatazaa wakimbizi kibao na mahangaiko zaidi, tunachotaka ni kuwajibika na kuwa na viongozi wanaoona mbele na wazalendo. Ingekuwa kuhama, basi nadhani hata wapigania uhuru wangehama na kutafuta nchi nyingine na kuwaacha wakoloni waendelee. N aukitaka kila mtu maendeleo ajitafutie mwenyewe, basi nadhani unataka watu wavamie kila sehemu watakayoona watapata maendeleo na hilo unalodai amani na utulivu halitakuwepo.
 
Nchi hii Tanzania Tunahitaji AMANI na UTULIVU.
Maendeleo kila mtu ajitafutie mwenyewe.
Asietaka AHAME nchi.
Zipo nchi zina Maendeleo aende huko! Tafadhalini asie taka AHAME nasisitiza AHAMEE.
Tunaobaki tutajilia ugali wetu kwa amani pasi na shaka.

So what?mbona hakuna link na CDM?Mbona hii ni basic thing ambayo hata wanangu wanajua ni too obvious to mention them.Yaani kama unamwambia mwendesha biskeli afikirie upigaji pedal badala ya kuangalia njia huku akiwa ame lock dira katk destination.

Inaelekea wewe ni mwepesi kuwa mshirikina sana, unaamini vitu tofauti sana na unatumia njia tofauti sana kutimu matatizo yako ya kiimani na kifikra.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom