Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk.
Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CHADEMA ikiwepo. Inaonekana mambo yote CHADEMA yalimtegemea Mwenyekiti Mbowe.
Hata hii kesi(kama ina ukweli wowote) kwa chama ambacho ni taasisi haikupaswa kumuangukia mwenyekiti. Inabidi hiki chama kibadilike, kisitegemee mtu mmoja kukiendesha.