CHADEMA, sihusiki na hayo matamko. Mnapoteza muda kutafuta mchawi wakati ni nyie wenyewe

mchange wenye macho wamekusoma. Waungwana tumekuelewa vizuri.


ah ah unavyompamba mchange utadhani ndo umemjua leo, duh namuona sana zanzibar na mumewe mwarabu,
nasikia analishwa pia anavishwa, kapendeza, mwarabu kamuahidi kuwa hatotoboa siri ila ye mchange ndo kaanza kujitangaza
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mchange,kama unakumbuka niliwahi kukuonya pale UDOM ,juu ya aina ya siasa zako za kutukuza watu na ujuaji mwingi(much knowlity) kuwa kamwe hazitakusaidia.Haya sasa jana tulikuwa wote hapa mwanza ,leo unaniambia uko znzb.,
 
Kweli wenye akili tumemwelewa anachokifanya sasa. Maana kwa akili zake fupi, kufikiri kwamba angeweza kuiua Chadema ni sawa na mtu kubeba wembe eti kwenda kukatia mti wa Ubuyu. Bora alivyoamua kuanzisha biashara yake Zanzibaaar! Maana anachotumia ni chake mwenyewe. Usikate tamaa Mchange, kwa kuwa elimu mwenzangu hukupata, ila kun.du mungu amekujaalia ooh, zidisha juhudi katika kumwaga radhi, kwani mtaji ulio nao na nduku lako mwenyewe eehe!

Duh! Mashallah Mwenyezi Mungu kawajaalia lugha za kuudhi jambo la muhimu ni kwamba wana jf hawashangai na mitusi yenu coz hakuna anayebabuka ila mnanekana hamna hoja. Mkiulizwa kuhusu picha za mshkaji aliepumuliwa hamsemi ukweli.
 
Unahangaika sana kijana.

Mdanganye tu Zitto kwa kumchukulia hela zake huku mafanikio yakiwa sifuri.

Nyie ndiyo mmempaka Zitto kinyesi kabisa na kilichobaki kwake subiri tu maamuzi ya Kamati Kuu ya dharura.

Nasikia ukitoa Tamko la Shinyanga leo unaelekea Tabora.

Nakuhakikishia ni afadhali hiyo hela ya Zitto unayompotezea ukafungue kioski lakini kamwe Chadema haitishwi na matamko ya wahuni...

Dharura?
 
Poleni bwana mchange,ila ukweli unauma.

R.I.P MM(Zitto Kabwe) Dhambi ya usaliti ikutafune hadi ikufilisi wewe na familia yako(baba yako,mama yako,mchumba wako,mtoto wako,kaka,dada na wadogo zako pamoja na ukoo wako na wale wote wanao kusuport) katika kazi yako ya kumsaliti mtanzania aliye kuamini na kukuthamini ili uje umkombe kutoka mikoni mwa mafisadi na walaghai wa nchi.
Kwani umeshindwa kuwafikiria japo hata kidogo,kwa wale waliopoteza maisha,kazi,na hata na wale ambao wanaishi maisha magumu kaajili ya kuishabikia chadema kupitia wewe? Eti kwanini umeamua kumuangusha mtanzania kwa vipande vya pesa kuliko kuwathamini watanzania waliokuamini?

Mungu alivyo waajabu ukimlaani asiyekuwa na hatia laana yote inakurudia..
 
kama unatanikujibu mimi kwa niaba ya wakubwa zangu ninao waeshimu,ambao wewe unasema wameshindwa kuzijibu. Naomba fanya aya :-
Weka ushahidi ambao unaonyesha uwalisia wa shutuma zako dhidi ya awo unao washtumu. Binafsi siwezi kujibu hoja zisizo na vielelezo venye uwalisia wa kinacho zungumzwa. Zaidi ya yote hizo tunaziita siasa chafu zenye malengo ya kuwachafua viongozi.

Kiswahili chenyewe hujui,
uwalisia=uhalisia
ninaowaeshimu=ninaowaheshimu
awo=hao
aya=haya
jifunze kwanza kiswahili
 
Yani chadema wamebaki kutafuta mchawi.

Kamati kuu imefanya maamuzi ya kijuha-mwenyekiti chadema(lindi)
 
Sijui kama tutavuka salama kwenye hili saga. Badala ya kujenga chama tunaendeleza majungu tu. Napenda maccm yatuadhibu mwakani kwenye uchaguzi wa local govt labda tutatia akili. Chama kimekua cha kusononesha sana siku hizi.

Eti na huyu naye mwanachama wa Chadema!Bogus kabisa!
Yaani CCM watuadhibu kwa kufuata katiba yetu kwa kuwavua madaraka wale wote wanaovunja katiba?

You must be insane or your among the members of MM!
All you need is SHUT UP and look!
 
toa majibu ya maswali yaliyowashinda wakubwa zako:-
1. kwanini manunuzi yanafanywa na Mbowe badala ya Tender Board
2. kwanini mapato na matumizi yanashindwa kufikishwa kwny vikao halali na hatimye CAG na PAC
3. kwanini uchaguzi inakuwa issue mpaka kugombana na katiba inachakachuliwa
4. vikao halali vilivyoidhinisha ukopeshwaji wa SLAA mahela yote yale
5. Kazi ya MSHUMBUSI ndani ya Chama na malipo yake yaliridhiwa na nani
6. dada wa LISSU, demu wa MBOWE, mtalaka wa SLAA, mtoto wa MTEI, n.k waliopewa Ubunge wa viti maalum kwa misingi ya kujuana
7. kwanini MBOWE anajinasibu kukisaidia Chama halafu anakuja kudai kinyemela kwa riba
8. kwanini mmechakachua katiba halafu mnakomaa na katiba ya nchi
9. michango mbalimbali kwa njia ya bakuli na wahisani inatumika vipi kwsbb ofisi makao makuu na hata mapango ya kanda haieleweki

10.wajumbe endelezeni mengineyo

DEMOKRASIA IPO WAPI?

Unahangaika bure wasaliti wote watatoswa tu.acha wahangaike na matamuko mufilisi.
 
sijui kama tutavuka salama kwenye hili saga. Badala ya kujenga chama tunaendeleza majungu tu. Napenda maccm yatuadhibu mwakani kwenye uchaguzi wa local govt labda tutatia akili. Chama kimekua cha kusononesha sana siku hizi.

unatapatapa bure,cdm ipo na itaendelea kuwepo.mlitegemea mtapata sapoti ktk matamko yenu fake? Cdm imeamua kuwapuuza!
 
Pole Mchange, nakukumbuka tulivyofanya siasa chuo kikuu cha Dodoma, ukaja siku moja room kwangu kuwa unafahamika sana na watu fulanifulani, ulikuwa umeambatana na Samora.

Nitakutafuta.
 
Wewe unahisi chadema inaishia dar tu?

Kila ulipo tambua upo na mkono imara wa chadema, tunawafuatilia mpaka mkimeza mate wewe na wenzio,
 
Mchange msalimie taswira mwambie bukoba tumeshaandaa tamko tunasubiri fungu tupande hewani.
 
Back
Top Bottom