CHADEMA, sihusiki na hayo matamko. Mnapoteza muda kutafuta mchawi wakati ni nyie wenyewe

...Sina msemaji kwenye maisha yangu,mm ndiye Kiongozi wa maisha yangu......Habib Mchange.
0762178678
Hapo kwenye red hukuwa na haja ya kututambulisha, tunajua kuwa MM ndiye mentor wako..
 
tatizo lenu vijana wengi njaa,kazi hamtaki kufanya mnawatumikia mafisadi,mtume paulo alisema asijefanya kazi na asile,jiulize huyo mwampamba,shonza wanafanya kazi au shughuli gani za uzalishaji mali?shame on you plus MCHANGE.heshimuni mamlaka hilo ndio linawashinda vijana wengi,hivi MESSI si mfungaji magoli mzuri?ila hata siku 1 ajawahi sema sitaki kipa wala sihitaji mabegi nitacheza peke yangu UMOJA NI USHINDI
 
TUNALAZIMIKA muulize boss wako JK kuwa wamiliki wa KAGODA ni wakina nani?maana ndio pesa za EPA zilizompeleka JK magogoni
 
Kuna wimbi kubwa sana la wizi wa simu, Chukueni tahadhari wadau.
 
toa majibu ya maswali yaliyowashinda wakubwa zako:-
1. kwanini manunuzi yanafanywa na Mbowe badala ya Tender Board
2. kwanini mapato na matumizi yanashindwa kufikishwa kwny vikao halali na hatimye CAG na PAC
3. kwanini uchaguzi inakuwa issue mpaka kugombana na katiba inachakachuliwa
4. vikao halali vilivyoidhinisha ukopeshwaji wa SLAA mahela yote yale
5. Kazi ya MSHUMBUSI ndani ya Chama na malipo yake yaliridhiwa na nani
6. dada wa LISSU, demu wa MBOWE, mtalaka wa SLAA, mtoto wa MTEI, n.k waliopewa Ubunge wa viti maalum kwa misingi ya kujuana
7. kwanini MBOWE anajinasibu kukisaidia Chama halafu anakuja kudai kinyemela kwa riba
8. kwanini mmechakachua katiba halafu mnakomaa na katiba ya nchi
9. michango mbalimbali kwa njia ya bakuli na wahisani inatumika vipi kwsbb ofisi makao makuu na hata mapango ya kanda haieleweki

10.wajumbe endelezeni mengineyo

DEMOKRASIA IPO WAPI?

kama unatanikujibu mimi kwa niaba ya wakubwa zangu ninao waeshimu,ambao wewe unasema wameshindwa kuzijibu. Naomba fanya aya :-
Weka ushahidi ambao unaonyesha uwalisia wa shutuma zako dhidi ya awo unao washtumu. Binafsi siwezi kujibu hoja zisizo na vielelezo venye uwalisia wa kinacho zungumzwa. Zaidi ya yote hizo tunaziita siasa chafu zenye malengo ya kuwachafua viongozi.
 
Kweli wenye akili tumemwelewa anachokifanya sasa. Maana kwa akili zake fupi, kufikiri kwamba angeweza kuiua Chadema ni sawa na mtu kubeba wembe eti kwenda kukatia mti wa Ubuyu. Bora alivyoamua kuanzisha biashara yake Zanzibaaar! Maana anachotumia ni chake mwenyewe. Usikate tamaa Mchange, kwa kuwa elimu mwenzangu hukupata, ila kun.du mungu amekujaalia ooh, zidisha juhudi katika kumwaga radhi, kwani mtaji ulio nao na nduku lako mwenyewe eehe!

Hahaaaaaa,,, uko sawa kweli kamanda?
 
toa majibu ya maswali yaliyowashinda wakubwa zako:-
1. kwanini manunuzi yanafanywa na Mbowe badala ya Tender Board
2. kwanini mapato na matumizi yanashindwa kufikishwa kwny vikao halali na hatimye CAG na PAC
3. kwanini uchaguzi inakuwa issue mpaka kugombana na katiba inachakachuliwa
4. vikao halali vilivyoidhinisha ukopeshwaji wa SLAA mahela yote yale
5. Kazi ya MSHUMBUSI ndani ya Chama na malipo yake yaliridhiwa na nani
6. dada wa LISSU, demu wa MBOWE, mtalaka wa SLAA, mtoto wa MTEI, n.k waliopewa Ubunge wa viti maalum kwa misingi ya kujuana
7. kwanini MBOWE anajinasibu kukisaidia Chama halafu anakuja kudai kinyemela kwa riba
8. kwanini mmechakachua katiba halafu mnakomaa na katiba ya nchi
9. michango mbalimbali kwa njia ya bakuli na wahisani inatumika vipi kwsbb ofisi makao makuu na hata mapango ya kanda haieleweki

10.wajumbe endelezeni mengineyo

DEMOKRASIA IPO WAPI?
Yawezekana madai yenu yana ukweli lakini kwanini pesa ya CCM ndo itumike eti kuleta kile ambacho mnakiita nyie MABADILIKO 2013? Ndani ya CHADEMA wanamitandao hawana nafasi kama katiba yao inavyoainisha. Mitandao ndo inayoitafuna CCM mpaka kesho ambayo wasisi wake wanafahamika kwa uroho wa madaraka. Rejea kipindi cha CCM ya Mwl. Nyerere, ilikuwa imara sana kwa sababu alisamamia teuzi zote na kuhakikisha umoja na ushirikiano katika chama. Anachofanya zito ni ulaghai uliopindukia maana anataka kuwaaminisha watanzania kuwa uongozi wote wa juu ni HOVYO wakati hata yeye ni sehemu ya uongozi. Leo anajiona yeye ndio CHADEMA!!! CHADEMA zito ni kirusi ni kufukuzwa kwake kwenye chama chenu HAINA MJADALA kama kweli mmelenga kuwaletea watanzania MABADILIKO YA KWELI.
 
Unaweza kuwa Zanzibar na kupanga mambo ya shinyanga. Kutokuwepo shinyanga physically siyo sababu kutopanga. Mawasiliano yamerahisishwa siku hizi hiyo sababu kwenye kukanusha kwako itoe. Hapa waatu watakushambulia maana wana upewo mbalimbali. Sisemi umepanga wewe ila nakosoa ulichokanusha.
Vijana mnafanya siasa za kinafiki.

Jana ulikua Mwanza kwenye Tamko la Gwanchele unasema hauhusiki
 
Dhahabu safi sharti ipitie ktk moto wa tanuru,haya yanapita na CDM inasonga mbele kuliko kawaida.
 
toa majibu ya maswali yaliyowashinda wakubwa zako:-
1. kwanini manunuzi yanafanywa na Mbowe badala ya Tender Board
2. kwanini mapato na matumizi yanashindwa kufikishwa kwny vikao halali na hatimye CAG na PAC
3. kwanini uchaguzi inakuwa issue mpaka kugombana na katiba inachakachuliwa
4. vikao halali vilivyoidhinisha ukopeshwaji wa SLAA mahela yote yale
5. Kazi ya MSHUMBUSI ndani ya Chama na malipo yake yaliridhiwa na nani
6. dada wa LISSU, demu wa MBOWE, mtalaka wa SLAA, mtoto wa MTEI, n.k waliopewa Ubunge wa viti maalum kwa misingi ya kujuana
7. kwanini MBOWE anajinasibu kukisaidia Chama halafu anakuja kudai kinyemela kwa riba
8. kwanini mmechakachua katiba halafu mnakomaa na katiba ya nchi
9. michango mbalimbali kwa njia ya bakuli na wahisani inatumika vipi kwsbb ofisi makao makuu na hata mapango ya kanda haieleweki

10.wajumbe endelezeni mengineyo

DEMOKRASIA IPO WAPI?

chadema ni saccos ya wapiga dili.
 
ONYO - CHADEMA aihujumiki ! KAMA UMECHUKUA HELA YA WATU RUDISHA ! VINGINEVYO UTAADHIRIKA VIBAYA SANA !
 
Nimeona niianzishie uzi haya majibu yangu baada ya kuona upotoshaji usiokuwa na mithili.

Habib Mchange.
0762178678

avatar17497_3.gif

Mchange nikiona hii picha yako ya pale Mwendapole wakati wa kampeni za uchaguzi basi hunikumbusha jinsi ulivyo mbaya kama nyoka wa mdimu kwani Ubunge wa Kibaha ulishinda 100% lakini ukauuza kwa senti ndogo tu , hivyo sishangai undumila kuwili wako uliotupatia maumivu ndani ya CDM
 
chadema ni saccos ya wapiga dili.

ukiambiwa lete ushahidi , huna hata wa kusingizia ! Cdm haiwezi kufa kwa hizi harakati za hawa MASIKINI SANA , wachumia tumbo wawili watatu wasio na mbele au nyuma, jiandae kupokea maumivu makali ya kichwa!
 
Poleni bwana mchange,ila ukweli unauma.

R.I.P MM(Zitto Kabwe) Dhambi ya usaliti ikutafune hadi ikufilisi wewe na familia yako(baba yako,mama yako,mchumba wako,mtoto wako,kaka,dada na wadogo zako pamoja na ukoo wako na wale wote wanao kusuport) katika kazi yako ya kumsaliti mtanzania aliye kuamini na kukuthamini ili uje umkombe kutoka mikoni mwa mafisadi na walaghai wa nchi.
Kwani umeshindwa kuwafikiria japo hata kidogo,kwa wale waliopoteza maisha,kazi,na hata na wale ambao wanaishi maisha magumu kaajili ya kuishabikia chadema kupitia wewe? Eti kwanini umeamua kumuangusha mtanzania kwa vipande vya pesa kuliko kuwathamini watanzania waliokuamini?

ama kweli wewe ni kibaraka wa hali duni kabisa. na ujue DUA YA KUKU HAIMPATI MWEWE
 
Mchange rudi kundini kamanda wangu, kumbuka japo kidogo enzi zako za upiganaji kama kamanda wa kutaminiwa ulipoichakaza CCM kibaha, lakin Zitto ndiye aliyeharibu ndoto zako wewe.
 
Last edited by a moderator:
Wakina Ben saa nane hao wanakaa chumbani na mwenzake Nyerere wanabunibuni mambo yao.
 
Back
Top Bottom