Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.
Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.
Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.
Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
kelele nyingi zimepigwa eti chadema inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.
Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa chadema zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa chadema ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa chadema ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa mwenyekiti wa chadema, freeman mbowe. Na ndio maana cv zao zinapoanikwa hadharani kama mh sitta alivyofanya kwa mh mbowe, mh slaa akaanza kusema kuwa sitta kamdharau mbowe. Jamani, kukutangazia cv yako ndio dhambi.
Na kutokana na cv nyembamba za wanachama wa chama hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa chama cha vurugu nchini. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.
Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini chadema haiwezi kuchukua nchi yetu.
gamba at work, take an example of leaders of the party. Are they form six failure or not? By the way, kama uelewa ungekuwa mdogo wa wana chadema basi hoja zao zisingesikika kwa haraka kiasi hicho nchi nzima. Hata hivyo unataka kutuambia kwamba maeneo yote waliyochukua chadema nchini ni la saba hadi form six peke yake? Mbona unataka kudanganya umma? Kumbuka pia kwamba ccm ina wanachama wengi zaidi vijijini ambako hawana uelewa. Unasemaje kuhusu hilo?
hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea
education
Majobless siku zote ndio wafata mkumbo, wao wala hawapimi maneno,ni kushabikia tu.