CHADEMA si kimbilio la wasomi!

CHADEMA si kimbilio la wasomi!

Mbumbumbu....ninauhakika mko pamoja hapo lumumba... Mnadanganyana...foooi
Mkuu kwanza kabisa nikupongeze kwa tafiti yako, maana naamini umetumia muda mwingi, rasilimali na nguvu katika kufanikisha tafiti hii, hapa napenda wachangiaji wasianze kuulizia methodology ulioitumia maana vitu vingine vipo wazi tu.

Kwanza napenda kuunga mkono hoja yako kuwa chadema sio kimbilio la wasomi bali ni kimbilio la failures. Hii nimekuwa nikiishuhudia mara kwa mara kwa kuangalia wanachama wengi wa chadema katika eneo ninaloishi, nikagundua wengi ni MATEJA, WEZI, VIJANA WA VIJIWENI. Nikaenda mbali zaidi nikagundua wengine wanaoiunga mkono chadema ni hawa WAKIMBIZI KUTOKA NCHI JIRANI ambao wanaishi hapa nchini kinyume na sheria. Makundi haya ya watu mara nyingi hawatambuliki katika daftari la kudumu la wapiga kura, kwa maana hiyo hawana kadi rasmi ya mpiga kura, ambapo kimsingi hawawezi kutekeleza haki ya kupiga kura.

Sikuishia hapo, nikaanza kuangalia vyuo vikuu kama vile UDSM, Ardhi University, MUHAS (Muhimbili), Mzumbe na SUA n.k pia na kwenye taasisi za elimu ya juu kama vile IFM, IAA, TIA na CBE n.k nikagundua CCM ina wanachama wengi sana tena wale viongozi wa serikali za wanafunzi ni wakereketwa wa chama chetu hiki imara na madhubuti.

Hapa nikafanya hitimisho ya kwamba, sababu kubwa ya CCM kuibuka kidedea kila mwaka tangu mfumo huu wa vyama vingi kuanzishwa ni pale ilivyoamua kuweka vigezo na masharti katika upatikanaji wa wanachama wao.

Vigezo hivyo na masharti vinataka watu wazalendo na taifa lao, watu waadilifu, watu wenye kujishughulisha na wenye utayari wa kujitoa kufanya kazi za kijamii (hatutaki kabisa wavivu, wazembe na mazezeta). Ukiangalia hapo utaona wasomi na wananchi wanaojituma kama wafanyakazi na wakulima ndio wanakidhi hivyo vigezo na masharti, makundi haya yana kadi ya mpiga kura na ndio wapiga kura wengi, kimsingi kundi hili ndilo linatupa CCM ushindi wa kishindo dhidi ya wapinzani uchwara ambao tunaona wengi ni waroho wa madaraka.

Ndugu yangu mwananchi mwenzangu wa Tanzania, kaa hapo ulipo utafakari kwa nafasi uliyonayo katika jamii, je unastahili kuwa mahala gani kiitikadi? Maamuzi ni yako lakini ukumbuke yanaathiri taifa letu, fanya maamuzi sahihi kwa ustawi mzuri wa nchi yetu.
 
Mkuu Tetty, kumbe nawewe umewaona enh?.. halafu ukiwauliza(Zawadi Ngoda na HAMY-D) maswali (critical questions) hawarudi hapa?

Nadhani we(Tanzanians) should keep doing that(chasing them away with critical questions than entertaining them with insults,propaganda etc)
 
kweli nimeamini nchi hii inamilikiwa na nyinyi maana mpaka unadiliki kusema CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU, inamaana kwamba hii nchi ni yenu na hakuna wengine ndio maana mnafanya mtakalo. Mwisho wenu wa kumiliki nchi umewadia, 2015 inchi hii itamilikiwa na watanzania wote na c nyinyi pekee.
 
Mi naona tuwasamehe wameamua kutubu kwa njia ya kukimbia mjadala, maswali mengi hayana majibu.


Mkuu Tetty, kumbe nawewe umewaona enh?.. halafu ukiwauliza(Zawadi Ngoda na HAMY-D) maswali (critical questions) hawarudi hapa?!..

Nadhani we(Tanzanians) should keep doing that(chasing them away with critical questions than entertaining them with insults,propaganda etc)
 
Labda sababu mimi sijasoma hivyo sielewi vizuri maana ya CV, Education background ni sehemu ya cv, sasa lile suala la eti flani hana cv huwa siwaelewi kabisa wasomi wa bongo, Manake Mbowe akiandika alishawahi kugombea uraisi wa jamhuri still nayo ni cv, wasomi nisahihisheni kama nimekosea
 
Tafiti zina sura nyingi sana na malengo tofauti kabisa! Ila tafiti yako hii inabidi iwe-published kwenye tabloids, UWAZI etc! If you what I mean, otherwise, be serious and re-conduct your research!
 
Mi naona tuwasamehe wameamua kutubu kwa njia ya kukimbia mjadala, maswali mengi hayana majibu.

Mkuu ruttashobolwa...nimeipenda hiyo, anyway.. Tanzania yetu sote, tusaidiane, tuelimishane, tukosoane(kimantiki) halafu tukubaliane tulisaidie taifa.

Naunga mkono hoja yako mkuu, mimi na tuwasamehe.
 
chama cha wahuni wanaotumiwa kumwaga damu kwa ujira kidogo.

Wale wale walevi wa madaraka, huwezi tegemea jambo zuri toka kwa Mkigoma, Zawadi ngoda, ritz and the like, I may puke let me log off.
 
Mmmmmmm sina imani kuwa CDM wataleta shibe. Ninachoona mimi, hawa CHADEMA wataongeza njaa + vita. Mwenyewe jaza kipi ni afadhali.

Chama pekee Tanzania chenye sifa ya kuleta vita ni kile chenye uwezo wa kuingia benki kuu na kuiba mabilioni ya pesa. Ni chama ambacho kimefungamana na majambazi wa ulaya kuiba madini, ni kile ambacho viongozi wake wameiba pesa Tanzania na kuzificha nje ya nchi.

Chama ambacho kinatumia nguvu ya dola kuwadhibiti watu au vyama vinavyopinga ubeberu hicho ni chama cha vurugu. Chama kinachopanga kuua watu kwenye mikutano ya vyama pinzani ili kuwatisha watu wasihudhurie mikutano yake hicho ndio chama cha vurugu.

Chama cha namna hiyo tukiogope kama ukoma, viongozi wake kama wangekuwa kwenye nchi zinazofuata utawala wa sheria wengi wangekuwa wanatumikia vifungo vya maisha. The good news ni kuwa huko tunakokwenda ni lazima jela wataingia, haiwezekani uovu wao usiwafuate wao na vizazi vyao, historia ipo hivyo na lazima haya niyasemayo yatatimia.
 
Labda sababu mimi sijasoma hivyo sielewi vizuri maana ya CV, Education background ni sehemu ya cv, sasa lile suala la eti flani hana cv huwa siwaelewi kabisa wasomi wa bongo, Manake Mbowe akiandika alishawahi kugombea uraisi wa jamhuri still nayo ni cv, wasomi nisahihisheni kama nimekosea

Yes, you are right Mr Suggestion...nadhani we( us and them) have different defination of CV, anasema "CV" lakini anamaanisha "ACADEMIC BACKGROUND"..

Just to remind them, CV is beyond "ACADEMIC BACKGROUND", ukibisha andika hiyo CV yako kama " Academic background" halafu aombe kazi ilinganishwe na mtu wa academic background and other personal, extracurricular activities and experience" uone nani atachukuliwa.
 
Wewe subiri uone nguvu yao 2015 utajua wamesoma au hawaja soma.their determination to snatch power from CCM THROUGH BALLOT PAPER is very high and unstoppable,wait and see.
 
mh ccm wanajipa moyo kweli, na vijitafiti vya kujitengenea wakati wapo katika mazungumzo, hakuna tafiti yenye ukweli hapo. acha kujidanganya.
 
UZURI wa cha cha magamba ni kwamba wenye chama wanajua fika kuwa mwisho wa jeuri yao ni 2015,ila wapambe bwana wanakesha kutetea wasicho kijua. mara wanachama wa chadema hawajasoma wakati wenyeviti wao wote wa wilaya na mikoa ni darasa la saba tu.kama kuna aliyefika kidato cha nne basi ni CHADEMA,kule anazuga siku zifike 2015.
 
Kazi nzuri sana vijana wa Nepi, mnaanzisha hoja mnajijibu, mnajipa like, mnajicort. Very very very good researchers, wonderful findings. Wakati mkiendelea na majungu, choppers hizooooooooooo Iringaaaaaaaaa.
 
uchaguzi uliopita pale chuo kikuu cha mlimani katika harakati za kumchagua mbunge wa ubungo wasomi kura nyingi zilizopigwa zilikuwa za upinzani haswa chadema. na hicho ni kijisehemu tu kidogo watu wanaoitwa wasomi wa kweli popote pale kama sio njaa kama wanatumia uelewa wao huchagua chadema.

sasa ukienda mitaani ambapo ndio makundi makubwa ya watu ni wenye vipato vya chini na maisha duni wameshaitupa ccm sasa wanataka chama mbadala nacho ni CDM ndio kitoacho matumaini. kwa hiyo sioni tatizo hapo.

wakati ccm ilipokuwa na wanachama hata kusoma na kuandika hawahui mkawa mnafurahia chama kina watu wengi lakini asilimia kubwa ni mambumbumbu ilikuwa sio tatizo sasa haohao wamewakimbia mnaanza visingizio ohhh wezi bibaka wahinga masikini ndio wafuasi wa chadema nini bwanaaaa acheni hizo Afterall chama ni cha watu wote.
ila nakuhakikishia wasomi kimbilio lao CDM. na wachache waliokuwa ccm wameaachana na chama hicho.
 
Kuna mtu nilikuwa namtafuta nimemkosa napita...
 
"I failed in some subjects in exam, but my friend passed in all. Now he is an engineer in Microsoft and I am the owner of Microsoft."
― Bill Gates
 
gamba at work, take an example of leaders of the party. are they form six failure or not? by the way, kama uelewa ungekuwa mdogo wa wana chadema basi hoja zao zisingesikika kwa haraka kiasi hicho nchi nzima. hata hivyo unataka kutuambia kwamba maeneo yote waliyochukua chadema nchini ni la saba hadi form six peke yake? mbona unataka kudanganya umma? kumbuka pia kwamba ccm ina wanachama wengi zaidi vijijini ambako hawana uelewa. Unasemaje kuhusu hilo?
 
Back
Top Bottom