Dah mkuu...... kuna chief wangu mmoja(A specialist doctor) aliwahi kuniambia hii statement nikiwa medical school baada ya kutoa jibu la "ku-generalise"(jibu la ki-jumla jumla)........ Aisee, isije ikawa ndo wewe......... niliona kama amenitusi, ila its a very valid statementMkuu Zawadi Ngoda,
1. Hoja huioni ina mantiki machoni "mwako"..wewe ndio mleta mada(it's so obvious utaona ina umuhimu) ila sisi wachangiaji ndio inabidi utushawishi, lakini si kama kwa njia hiyo hapo juu.
2. Nilikukumbusha kama MSOMI, inabidi ulete DATA za utafiti kama ambavyo nilisema mwanzo(nani aliufanya, wapi, lini, result...THEN ndiyo comparison ya cyama vingine vile vile pamoja na utafiti wao ulinganishwe) na si kwa kusema "wewe angalia mwenyewe tu", kirahisi namna hiyo.
3. Unapoita vijana wamitaani wamebweteka nadhani unakosea TENA, as wasomi we dont generalize mkuu, "to generalise is to be an idiot" mkuu...take that from me.
4. "Hujawahi kukutana na watu fulani wanaojiira wasomi lakini mamvo ambayo anayoyafanya ukiyaona unakataa hata kama ukiona cheti chake?!".. what difference is it thete then kwa "viongozi wasomi" uliowataja?
5. A leader is not born, is made! Kuna viongozi walikuwa hawana elimu kubwa lakini waliongoza katika mageuzi, nchi mbalimbali...wasomi hawakuwepo? walifanya nini?
Kwa mfano hapa TZ, Hayati Baba wa Taifa Mwl JK Nyerere, alikuwa ni mwalimu PROFFESIONALY, je hakukuwa na wasomi zaidi yake? lakini je hakuwa kiongozi bora? wale waliokuwa "wasomi" wako wapi?.. What legacy have they left for the country? will you compare with Mwalimu's?!
Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.
Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.
Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.
Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
CUF style. Oh Tanzania!Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.
Tafiti tulizozifanya kwa wanachama hai wa CHADEMA zinaonyesha takwimu tofauti kabisa. Wanachama wengi wa CHADEMA ni vijana wa vijiweni wasiopenda kazi na waqkati wao mwingi huupoteza kwa kutia gumzo na kuleta hadithi za alinacha.
Kiwango cha elimu cha wanachama wengi wa CHADEMA ni kuanzia darasa la saba mpaka kidato cha nne na baadhi ya form six failure kama inavyojieleza kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Na ndio maana CV zao zinapoanikwa hadharani kama Mh Sitta ALIVYOFANYA KWA Mh Mbowe, Mh Slaa akaanza kusema kuwa Sitta Kamdharau Mbowe. Jamani, Kukutangazia CV yako ndio dhambi.
Na kutokana na CV nyembamba za wanachama wa CHAMA hicho, ndio sababu kubwa ya chama hicho kuwa CHAMA CHA VURUGU NCHINI. Na hii inasababishwa na ueleo mdogo wa wanachama wake kutokana na elimu ndogo.
Fanya utafiti mdogo katika mji uliopo na utahakiki maneno yangu. Ukipata jibu ndio utaelewa kwanini CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YETU.
Nimesoma michango ya wanaJF kuhusu uanachama wa CHADEMA, na kama Muasisi wa chama na Mwenyekiti Taifa mstaafu, nataka kusema kwamba nafurahia sana jinsi chama kinavyowavutia Watanzania wote kwa ujumla wao, bila kubagua wasomi, vijana wa kijiweni, wakulima wadogo na wakubwa, wafanya biashara na wawekezaji viwandani wadogo na wakubwa etc.
Ujumbe ni kwamba kila Mtanzania mzalendo, mwenye wazo zuri la kuboresha sera ili tutatue matatizo lukuki yanayoikabili nchi yetu, anakaribishwa kuwa mwanaCDM. Naridhika binafsi kwamba kwa sasa tumeweza kujumuisha Watanzania, hasa vijana ambao kwa uongozi wao wameonyesha performance nzuri.
Ukimsikiliza Mbunge yeyote wa CDM akifafanua msimamo ama Bungeni au katika mkutano wa hadhara utaona kwamba tuko sawa: Mnyika, Tindu Lissu, Halima Mdee, Wenje, "Sugu", Msigwa, wakiongozwa na vinara vyao Zitto Kabwe, Mbowe na Slaa utakuwa na matumaini kwamba "saa ya ukombozi inakaribia". Nje ya Bunge tuna brilliant people kama Prof. Baregu, Kitila Mkumbo wanaosaidia "kupika" sera za mabadiliko ya manufaa.
Mimi ni mzee mwenye raha sana kutokana na calibre ya WaTz ambao wamejiunga na chama nilichobahatika kuasisi kuleta demokrasia na mabadiliko ya kweli.
Ubunifu wa hali ya juu unahitajika kuweza kueleza misimamo na sera zetu nchini kote. Tunavyosema "Hakuna Kulala, Mpaka Kieleweke"
Mmefanya utafiti..............!!!!!!!
CHADEMA HAIWEZI KUCHUKUA NCHI YENU!!!!!!!!!
Tatizo kubwa la CCM mnaamini nchi ni yenu!! Nawakumbusha, nchi hii ni yetu sote bila kujali itikadi zetu za vyama.
Otherwise, hii ni story ya kutunga iliyotungwa na mtu wa kijiweni anayeota ndoto za alinacha!!.
Sasa hao wasomi wa kiccm ccm wameifanyia nini nchi hii zaidi nya kujilimbikizia mali?
Je walioichagua ccm miaka yote ni wasomi?
Acha upambafu pambafu!!!!!!!!!!!!!!!
Imetungwa kijiweni!!! Na wanachama wa CHADEMA? Kifupi nchi hii ni Yetu na wataoilinda ni wapenda amani na maendeleo.
Cha ajabu ni kuwa chama chenu mnakiita cha Maendeleo wakati hampendi maendeleo, Ajabu!!
Dah mkuu...... kuna chief wangu mmoja(A specialist doctor) aliwahi kuniambia hii statement nikiwa medical school baada ya kutoa jibu la "ku-generalise"(jibu la ki-jumla jumla)........ Aisee, isije ikawa ndo wewe......... niliona kama amenitusi, ila its a very valid statement
CHADEMA imezidi. Kila siku kukimbilia Uingereza kupewa helikopta nani aliwaambia wa Tanzania ni washamba wa helikopta?? tunataka sera siyo kuungurumisha helikopta mkishashinda mnaanza kutoa pumba kama za nasari
Hakuna msomi anaweza kuwa na muda na chama cha vihiyo. Mnyika ni form six alipata division three halafu wakati wa uchaguzi akadanganya eti ana division 1 ya point 3. Jamani, kuna mbunge wa mpanda wa chadema yeye ni darasa la saba. Jiulize hawa chadema nani amewahi kuwa angalau mkuu wa wilaya. Maprofessor woote ni ccm angalia wakina mwandosa, wangwe, mhongo, tibaijuka. Sasa chade ma ni
professor baregu peke yake. Lweitama ni chakubanga hana sifa za kitaaluma. Kitila mkumbo ni pandikizi amesomea education
Mod. Tafadhari tena. Niliwahi kutoa maoni kwamba ktk majukwaa ongeza na "JF Toto" Ni aibu kuona ktk jukwaa la siasa kuna thread kama hii. Nahisi huyu amesoma lakini ana tatizo la kutoweza kupanga hoja. Kwa ujumla ukimpa maksi zinakuwa za kuokota okota baadaye anapita.Kelele nyingi zimepigwa eti CHADEMA inatamba vyuo vikuu na kuzoa wanachama wengi wasomi.