kipipili
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 1,587
- 187
Mgsalon, you are one great tinker, yes, tinker and not thinker.
vipi na wewe ni great thinker kwa ku-quote bandiko zima na kuuliza swali hilo?
Mgsalon, you are one great tinker, yes, tinker and not thinker.
Dr. Slaa,
Nimesoma sana Katiba yetu hiyo ibara ya 41 kifungu cha 7 kinasema hivi: "Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basi hakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza kuchaguliwa kwake." Inaonekana kuwa uongozi wa CHADEMA unaangalia rangi ya bluu tu katika kifungu hicho na kushindwa kuangalia rangi nyekundu. Hakuna mwanasheria anayeweza kuonyesha kuwa kifungu hicho kinataka rais awe amachaguliwa kwa mujibu wa ibara ya 41 yote, ambapo pamoja na mambo mengine ni lazima kifungu chya 6 kiwe kimetimizwa, ambacho kinasema kuwa "Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata kura nyingi zaidi kuliko mgombea mwingine yeyote. "
(1) Kama kweli kuna ushahidi kuwa matokeo ya Kikwete yalichakachuliwa na hakuwa amepata kura nyingi kuwazidi wagombea wengine na hivyo Tume ilifanya makosa kwa kumtangaza Kikwete kama mshindi bila kutekeleza matakwa yote ya aya 41 ya Katiba, je hamuoni kuwa kifungu cha 7 kitakuwa hakifanyi kazi tena kwa vile rangi nyekundu haikutimia na hivyo matokeoa hayo yanaweza kupingwa?
(2) Iwapo itakuwa ni vigumu kuhoji matokeo hayo, je hamuoni kuwa kuna haja ya kuishitaki tume kwa kosa la kuvunja katiba ya nchi ibara 41(6) kwa kumtangaza mtu ambaye hakupata kura nyingi? katiba haitoi kinga yoyote kwa tume dhidi ya kushitakiwa kwa sababu yoyote ile.
Ningependa jambo hili lichukuliwa kwa umuhimu wa juu sana kabla hatujafikia hatua ya Ivory Coast na Kenya siku za mbeleni.
Dar-Es-Salaam,
Nashukuru sana. Kesi ya kumpoka mtu mke? Nadhani ni vema wakaulizwa walioianzisha. Mimi sawa na wewe sijui ilikoenda. Ukifanikiwa kujua nijulishe ili nami nijue ilikoenda au ilikoishia baada ya uchaguzi.
Dokta Slaa, kwa kuwa unapenda kufafanuwa mambo wewe mwenyewe humu jamvini, hicho ni kitu kizuri sana.
Naomba tufafanulie ile kesi yako iliishaje, nadhani ingawa una majukumu mengi lakini utaikumbuka, kama huikumbuki, labda nikudokezee kidogo. Ile ya yule jamaa anaekushutumu kuwa umechukuwa mkewe. Hebu tujuze imefikia wapi?
Thanks, lakini CDM ina wanasheria akina Tundu Lisu, sijui wanasema nini, umeelezea kilichitakiwa kifanyike na sio usanii usanii, watu wameingia kwenye uchaguzi hali wakijua kabisa rules of the game.
Dokta Slaa asnte kwa jibu lako lakini naona unajibu sivyo nilicyoulizan au unachakachuwa? Unasema hujui ilipooenda wakati mimi nimeuliza iliishaje? Sasa Dokta sidhani kama hilo jibu linafanana na swali nililokuuliza. Naomba jibu iliishaje?
Mh, Dr. Slaa,
With all due respect to you,
Lately Chadema mnana jikanyaga sana. Nadhani you are having a problem of finding a way to move forward. Dr. Slaa umesema mme tumia lugha ya Kiingereza maksudi kuonyesha tofauti. Kwa nini mtumie Kiingereza wakati majority ya Watanzania hawaongei Kiingereza? Pamoja na wasomi wote ndani ya chama meme shindwa kuexpress msimamo wao kwa Kiswahili?
Ndiyo maana nasema kwamba mmekosea lakini hamtaki kukiri kosa. Haileti maana kusema kitu ni "Lawful but Illegitimate". Kitu kikisha itwa lawful ina maana ni legitimate. Sasa kitu uta semaje ni lawful but at the same time ni illegitimate? Au ndiyo kutake advantage ya Watanzania kuto kujua lugha?
So my point is kwanza mlitakiwa mtafute maneno ya Kiswahili kuexpress msimamo wenu. Chama ambacho kina wasomi haileti maana kusema mlishindwa kutafuta maneno ya Kiswahili kumaanisha mlicho taka kumaanisha mpaka mtumie lugha ambayo majority ya Watanzania hawa tumii!
Pili hakuna sehemu duniana ambao kitu ni lawful lakini ni illegitimate. Tafuta hata maana ya maneno haya kwenye dictionary na mtu utagundua kuwa that statement contradicts itself.
How will that help Tanzanians? Tunaongelea President to be, he has to be responsible. Even kwa mke wa mtu, if he can not be responsible, kama kuna ukweli katika shutuma zilizompeleka kushitakiwa, of ones wife how can he be responsible for the wives and daughters of all Tanzanians? Be a thinker not a tinker.
Mfano rahisi kwa kukujibu. Mtoto anaweza akawa illegitimate lakini mbele ya sheria ni lawful. Hawa jamaa wanachotaka kusema kuwa ni kuwa ingawa Mheshimiwa Rais ni lawful ( kwa maana kuwa sheria na katiba inamtambua) lakini kwa maono yao morally (kwa values na sio law) wao wanaona hastahili.
Amandla.....
So you are depending on the president to be responsible for your wife and daughter.......?
Mh, Dr. Slaa,
Kiingereza wakati majority ya Watanzania hawaongei Kiingereza? Pamoja na wasomi wote ndani ya chama meme shindwa kuexpress msimamo wao kwa Kiswahili?"Lawful but Illegitimate". Kitu kikisha itwa lawful ina maana ni legitimate.
I think I replied to this example of yours in another thread mkuu so for this one I will make it short. Morals/values are matter of opinion which can vary from person to person but the law is a matter of fact which does not consider a person's personal opinion to that law. If their only justification is that JK shouldn't have been swon is as president is morals then they have no case. If you haven't noticed by now there are no morals in politics.
Morals/values are matter of opinion which can vary from person to person but the law is a matter of fact which does not consider a person's personal opinion to that law. If their only justification is that JK shouldn't have been swon is as president is morals then they have no case. If you haven't noticed by now there are no morals in politics.
MGSalon,
walichokifanya Chadema ni kuwaita CCM wezi wa kura. Sasa ni sawa na wewe mtu akuite mwizi, halafu baadaye anasema kwa marafiki zake kuwa wewe siyo mwizi bila kukuomba radhi; huu hautakuwa uungwana. Kwa hiyo Chadema inawajibika kuomba radhi au kuendelea na msimamo wa awali.
I think I replied to this example of yours in another thread mkuu so for this one I will make it short. Morals/values are matter of opinion which can vary from person to person but the law is a matter of fact which does not consider a person's personal opinion to that law. If their only justification is that JK shouldn't have been swon is as president is morals then they have no case. If you haven't noticed by now there are no morals in politics.
Mwanakijiji ana haki ya kuuliza na kukosoa lolote Chadema kama mtu yeyote yule. Huna haja ya kumuita majina yote hayo. Mimi ninamuelewa vizuri kwa nini kafikia uamuzi huo.
Hata mimi sijaelewa vizuri suala la Chadema kuitambua serikali ya Kikwete hadi waje na sababu za kuniridhisha. La sivyo ni kweli itabidi waombe msamaa kwa kauli zao za kwanza kuwa hawakumtambua rais.
Mimi ni mwana Chadema lakini nasema sintamtambua Kikwete kama rais wangu. Bado ninaamini ni rais wa NEC. sasa sijui na mimi utanitukana? Soma saini yangu na sintaibadilisha.
Na kweli ina bidi tuwauliza wanasheria wa Chadema kuhusu hii kauli ya Dr. Slaa kwamba "Kikwete's Presidency ni Lawful it is Illegitimate." Watuambia ni wapi inapo wezekana sheria ikawa lawful but illegitimate at the same time. Maana nyingine ya illegitimate ni unlawful sasa ina maana Dr. Anasema Kikwete's presidency is lawful but unlawful???
Pili, kama ulivyo sema wameingia kwenye uchaguzi na sheria hizi hizi. Je wangeshinda wange taka kuzi badilisha? Au hizi kasoro zimeanza kuonekana lini haswa?
vipi na wewe ni great thinker kwa ku-quote bandiko zima na kuuliza swali hilo?