CHADEMA sasa yawaadhibu wananchi: NAPE

CHADEMA sasa yawaadhibu wananchi: NAPE

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Posts
3,481
Reaction score
564
JF members

Nimeisikia hii habari via TBC[SUB]1[/SUB] magezeti asubuhi hii kuwa Nape anasema baada ya CHADEMA kushindwa kwenye uchaguzi ulio pita sasa kimeamua kuuwaadhibu wananchi kwa kupitia vurugu zinazoendelea nchini

My take:
Naomba sana tuwe wakweli Mfano hizi vurugu zilizo fanyika MBY kwa masaa zaidi ya 30 mfululizo chanzo chake nini ?

Ukweli ni kwamba watu hasa machinga walichoka kunyanyaswa na migambo wa jiji ambao walikuwa wakiwafukuza ktk maeneo yao ya kazi na kuwafukuzia ambako hata wao ( migambo) hawakujui

Pili migambo kumwaga michele, mbogamboga, matunda ya akina mama ambayo wanauza kando ya barabara

Tatu wenye maduka kuwazuia kabisa kutoa bidhaa yeyote ya dukani nje kama sample othewise wanachukua hiyoo bidhaa eg nguo

Nne huu ni mwezi wa mavuno kwa machinga kwani tunaelekea kwenye sikukuu

NAOMBA SANA TUWE WAKWELI SI KILA JAMBO NI SIASA MENGINE NI MASUALA YA KAWAIDA SANA AMBAYO VIONGOZI WA JIJI WALISHINDWA KUYA WEKA SAWA MAPEMA
 
hili jamaa linatumia masaburi kweli cjui lini atapevuka, mtazamo wake na uwezo wake nina mashaka nao ana hitaji msaada wa maombi
 
kuna watu hata ukiwaombea masaa na masaa hutaona mabadiliko
 
kama ndo hivyo basi alitakiwa kusema kuwa cdm inaiadhibu serikali kupitia vurugu na si cdm kuwaadhibu wananchi.au anafikiri serikali haipati shida kwa vurugu hizi? btw hapo ameongea utumbo.
 
JF members

Nimeisikia hii habari via TBC[SUB]1[/SUB] magezeti asubuhi hii kuwa Nape anasema baada ya CHADEMA kushindwa kwenye uchaguzi ulio pita sasa kimeamua kuuwaadhibu wananchi kwa kupitia vurugu zinazoendelea nchini

My take:
Naomba sana tuwe wakweli Mfano hizi vurugu zilizo fanyika MBY kwa masaa zaidi ya 30 mfululizo chanzo chake nini ?

Ukweli ni kwamba watu hasa machinga walichoka kunyanyaswa na migambo wa jiji ambao walikuwa wakiwafukuza ktk maeneo yao ya kazi na kuwafukuzia ambako hata wao ( migambo) hawakujui

Pili migambo kumwaga michele, mbogamboga, matunda ya akina mama ambayo wanauza kando ya barabara

Tatu wenye maduka kuwazuia kabisa kutoa bidhaa yeyote ya dukani nje kama sample othewise wanachukua hiyoo bidhaa eg nguo

Nne huu ni mwezi wa mavuno kwa machinga kwani tunaelekea kwenye sikukuu

NAOMBA SANA TUWE WAKWELI SI KILA JAMBO NI SIASA MENGINE NI MASUALA YA KAWAIDA SANA AMBAYO VIONGOZI WA JIJI WALISHINDWA KUYA WEKA SAWA MAPEMA

Nape has become IRELLEVANT tangu ile siku alipoitaka chadema itoe msimamo kuhusu swala la mashoga kwenye lile azimio la waziri mkuu cameron alipozitaka serikali za nchi za kiafrika kuheshimu haki za mashoga naye nape the next kwa domo lake kaya eti akataka chadema itoe msimamo kuhusu azimio la cameron huku akijua wazi kuwa chadema haina serikali. JK anachagua viongozi dhaifu km akina Nape ili kuficha udhaifu wake.
 
Yani jamaa kilaza sana sijui aibu ilivyoumbwa alikuwa kashazaliwa mana aibu ziro kabisa.
 
JF members

Nimeisikia hii habari via TBC[SUB]1[/SUB] magezeti asubuhi hii kuwa Nape anasema baada ya CHADEMA kushindwa kwenye uchaguzi ulio pita sasa kimeamua kuuwaadhibu wananchi kwa kupitia vurugu zinazoendelea nchini

My take:
Naomba sana tuwe wakweli Mfano hizi vurugu zilizo fanyika MBY kwa masaa zaidi ya 30 mfululizo chanzo chake nini ?

Ukweli ni kwamba watu hasa machinga walichoka kunyanyaswa na migambo wa jiji ambao walikuwa wakiwafukuza ktk maeneo yao ya kazi na kuwafukuzia ambako hata wao ( migambo) hawakujui

Pili migambo kumwaga michele, mbogamboga, matunda ya akina mama ambayo wanauza kando ya barabara

Tatu wenye maduka kuwazuia kabisa kutoa bidhaa yeyote ya dukani nje kama sample othewise wanachukua hiyoo bidhaa eg nguo

Nne huu ni mwezi wa mavuno kwa machinga kwani tunaelekea kwenye sikukuu

NAOMBA SANA TUWE WAKWELI SI KILA JAMBO NI SIASA MENGINE NI MASUALA YA KAWAIDA SANA AMBAYO VIONGOZI WA JIJI WALISHINDWA KUYA WEKA SAWA MAPEMA
Naomba tujitahidi kuzuia propaganda za Nape maana hiyo ndo kazi yake alopewa dhidi ya chadema. CCM inamatatizo mengi, inadhambi nyingi imetutendea sisi wananchi huwezi kuzirelate hata moja ya cdm. CCM imeuza migodi yote kwa kisingizio cha uwekezaji wananchi wamenyamaza, CCM iliuwa watu Bulyankulu wanachi wamenyamaza, CCM iliuwa watu Zanzaibar mwaka 2001 hadi wengine ni wakimbizi huko somalia wananchi wamenyamaza, Tarime watu wamepigwa risasi wakidai haki zao wananchi wamenyamza, na nk. Sasa Nape ataka kutuambia upupu. Tafadhali Nape acha proganda za kijinga. Abraham Lincoln aliwahi kusema na nitamnukuu,
4star.gif
ThumbsUp.gif
ThumbsDwn.gif
"You may fool all the people some of the time, you can even fool some of the people all of the time, but you cannot fool all of the people all the time." Huu ndo ukweli mambo hivi sasa wala sio CDM.
 
Tatzo la huyu Mmakonde ana mtindio wa KIFIKRA,ameshindwa kuelewa tatzo lililotokea Mbeya limegusa maisha ya wakazi wa mji ule,Nadhani kama Prof.Mwandosya angelikuwepo akaenda kuongea na watu wana Mbeya wangemsikiliza on behalf of SUGU kwani yeye ni mtu wa kujishusha sana kwa Wananchi kwahiyo na hapo tungesema chanzo ni CCM?Mara ngapi JK amezomewa Mbeya lakn akaokolewa na Mwandosya?Na hapo Nape ameshndwa kutambua kuwa tatzo ni wao CCM na badala yake atupia mpira kwa CDM.Serikali ya CCM endapo itaendeleza utawala wa KIIMLA itambue fika kuna watoto wadogo hawajafikisha umri wa kupiga KURA na hao 2015 kwa hasira wataiadhibu CCM,kama vile watoto wa shule moja ya secondary walotendwa vibaya na polisi kwa kupigwa na kuwekwa lumande.NAPE OPEN YOUR EYES,leo Wazanzibar wanataka kujitenga na MUUNGANO but kuna siku SOUTHERN HIGHLAND watataka kujitenga.
 
Huyu mtu anatumia kichwa cha chini kufikiri,badala ya kusema ccm imeamua kuwaadhibu wananchi wake anasema cdm ndo wameamua kuwaadhibu wananchi kweli huyu masaburi
 
hapo ndio utajua pro ccm na cdm kila mmoja nawazo yake..
 
Wao CCM wamekuwa wakituadhibu kwa kutuibia na kutuleta maisha mabaya kana kwamba sisi ni manyani kwa miaka 50 sasa. Siwezi kushangaa akisema hivyo maana nafsi yake inamsuta.
 
Jamaa anasema ukweli, CDM wanafikiri siasa za fujo ndio zitawaendeleza. Hii serikali inawaendekeza sana. Wao wanahamasiha fujo halafu mambo yakicharuka wanatia mbio huku wakiwaacha wanachama wao wale bakora. Mfano mzuri ni yalio tokea Arusha. Viongozi wao walipotea ghafla wakati bakora zikitembezwa. Mmoja karuka ukuta na mwingine kajificha kama panya kwenye sanduku.
 
Kila siku watu wanaandoka humu JF na wanatamka mitaani kuwa, kwa namna yoyote ile haiwezekani bosi akaajiri wafanyakazi wanaomzidi uwezo. Kwa hiyo ukitaka kujua uwezo wa mfanyakazi angalia competence ya bosi wake.
Nape hana tofauti na wenzake waliomtangulia na waliopo, try to think the likes of Makamba, Salva, Luhanjo, Mukama, etc.
 
Mm nachoona ndugu zangu tunaanza kuzoea harufu ya mabomu ya machozi,milio ya risasi na kibaya zaidi tunaanza kuzoea na sare za jwtz na jkt katika kutuliza ghasia hatuna muda mingi kitanuka mbeya ni mfano hawaogopi hawa jamaa si mmeona polisi wameshindwa?arusha mmewaona mbeya....dsm kazi kwenu
 
Hawa jamaa wamechanganya damu na nchi jirani, hii ndio faida ya dada zetu kuvuka mipaka na kutuletea damu za ajabu ajabu ndani ya Tanzania yetu.
 
Jamaa anasema ukweli, CDM wanafikiri siasa za fujo ndio zitawaendeleza. Hii serikali inawaendekeza sana. Wao wanahamasiha fujo halafu mambo yakicharuka wanatia mbio huku wakiwaacha wanachama wao wale bakora. Mfano mzuri ni yalio tokea Arusha. Viongozi wao walipotea ghafla wakati bakora zikitembezwa. Mmoja karuka ukuta na mwingine kajificha kama panya kwenye sanduku.
OK Bw omr sasa kwa nini CHADEMA ndiyo wanao itwa kutuliza gasia eg Arusha mahamani - Walimuita Mbowe, Jana Mbeya walimuta Sugu fikiri chanzo cha tatizo na impact zake " uwe balanced "
 
Back
Top Bottom