Chadema sasa chakomaa kisiasa- Arumeru Mashariki!!

hii ID kila nikiiona status huwa "banned" lakini mtu anaendelea kupost

"Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)

Unastahili kuwa mmoja wa wachezaji na waigizaji wa vichekesho kwa usemi huu bali nadhani hustahili hata kuwa kiongozi wa wapiga debe wa vituo vya daladala, kwa fikra hizi.
 
Back
Top Bottom