Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,906
- 110,129
Yani wanachama wa Kibaha wakajenge Dodoma? Hivi wewe kichwani ni mzima kweli?Hiyo ofisi wakajenge Dodoma manake itakua na tija zaidi.
Yani wanachama wa Kibaha wakajenge Dodoma? Hivi wewe kichwani ni mzima kweli?Hiyo ofisi wakajenge Dodoma manake itakua na tija zaidi.
Dahh!! Hao wabunge viti maalum mkoa wa Pwani nilitegemea majina ya Mwajuma Ndala Ndefu,Maimuna,Sikudhani,Chausiku ila kumbe ni wa Kaskazini akina Muro na Mollel. Shenzy type.
Vipi bwana mzee amekuruhusu kusalimia wapinzani?Mm naamn cku mbowe aki step down chadema inaweza anguka vibaya sana...Vijana wa Kanda maalum wameshajiamnisha kuwa n chama chao.. Sasa kama akitokea mwenyekit atakae taka kukiondoa chama mikononi mwao cpat picha na sereka Lake...watu watatoana dam..mbowe alikosea sana kuunda msing wa kikanda ndan ya chama...
Hahahhaaaa.....hatar mkuu...mkuu mim sio mshabk wa kila kitu mkulu anachokisema....! Kama kakosea lazma tumpige nyundo....Vipi bwana mzee amekuruhusu kusalimia wapinzani?
Na Mbunge wa Kibaha Mjini ni mchaga lakini ni wa CCM. Hapo vipi mkuu?Dahh!! Hao wabunge viti maalum mkoa wa Pwani nilitegemea majina ya Mwajuma Ndala Ndefu,Maimuna,Sikudhani,Chausiku ila kumbe ni wa Kaskazini akina Muro na Mollel. Shenzy type.
Uzi huu haukuhusu fanya kama unapita vile!Dahh!! Hao wabunge viti maalum mkoa wa Pwani nilitegemea majina ya Mwajuma Ndala Ndefu,Maimuna,Sikudhani,Chausiku ila kumbe ni wa Kaskazini akina Muro na Mollel. Shenzy type.
Ile sumu ya utengano inawapenya taratibuNdio ujinga wa CDM wabunge wa kuteuliwa wote wanatoka kaskazini....alafu huyo mwenyekiti wa Pwani Baraka Mwago amewekewa mwenyekiti mwengine kutoka kaskazini Frederick Sumaye
Hii ni style mpya tunaboresha toka chini kwenda juu bottom up approachTaifa hawana ghorofa iweje Pwani mmhhh...! Vioja vya mbowe mwisho lini??
Div zeroAcha kufananisha wakuu wa mikoa na wabunge ma babies.