Aisee....kuwaita watu wa sehem husika n kukesha kwenye vigodoro n dhambi kubwa sana...bado naamn Katka mising ya kujenga chama Katka umoja na c kikanda mkuu...Kwani ni dhambi kuwa na wa bunge viti maalumu kutoka kazkazini,wakina mwajuma na wakina molel wote si ni watanzania na wana haki ya kujenga chama popote pale tanzania ili mradi wasivunje sheria
acheni mawazo mgando hayo ya kusema chadema ni chama cha watu wa kaskazini, kama wao ndo wana mamko wa kisiasa na wanapatikana eneo hilo ulitaka waka mvute na kamba huyo mwajuma kwene kigodoro,kila kabila au mtu ana hulka zake,mwne hulka za siasa na uongozi atakua kiongozi na mwnye hulka za mziki atakua mwana mziki bila kujali yupo sehemu gani ya tanzania,
muache ujinga
Mkuu una uhakika gan kama hawana cfa kabsa...? Please don't bring politics in a real lifeKwahiyo hapo pwani wapewe wazawa hata kama hawana sifa? Tumia ubongo wako wala sio kujitetea na mawazo yako mgando.
Inawezekana sana tena sanaHa ha ha makao makuu imeshindikana huko pwani ndio itawezekana team wema acheni maigizo bana
Sikuwahi kudhani kama wewe ni mpumbavu wa kiwango hiki.Dahh!! Hao wabunge viti maalum mkoa wa Pwani nilitegemea majina ya Mwajuma Ndala Ndefu,Maimuna,Sikudhani,Chausiku ila kumbe ni wa Kaskazini akina Muro na Mollel. Shenzy type.
Walio anzisha ubaguz wa wakaskazn n cdm wenyewe...refer khabour,marehem cha-cha wangwe na zzto kabwe....hebu tumia hakir kidogo ccm imefanya nn kwenye utawala wa kikanda...? Au unataka kubsha tu il uonekane una tetea uongoz uliopo...?Hii dhambi ya kuwabagua watanzania kwa ukanda, uvyama,udini itawamaliza nyie CCM mna laana nyie
Na wewe unahuakika ghani kama wanasifa.unajua videzo vya kupata muwakilishi ?Mkuu una uhakika gan kama hawana cfa kabsa...? Please don't bring politics in a real life
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Mkuu swala la magu kuwa blind haimanish cdm wafanye upuuz kama huo.....! Hatuwez kukaa kimya wakat taifa linaangamia kwa ukanda wakat tayar wasom kila Kanda kwa sasa wamejazana... Hakuna Kanda iliyo na nguvu kuliko nyingne kama mambo tukiamua tuyapeleke kama wenzetu wanavyofanyaMimi ni mngoni na naipenda sana chadema niko hapa songea. Hizi fitna na majungu mnayosambaza hamtafanikiwa. Nimesikia wabunge wa ccm wameambiwa ni marufuku kuongea na chadema
Propaganda hiyo mbona ilishachacha?propaganda dhaifu ni kujidharilisha, jenga hoja kabla ya kupost kituNdio ujinga wa CDM wabunge wa kuteuliwa wote wanatoka kaskazini....alafu huyo mwenyekiti wa Pwani Baraka Mwago amewekewa mwenyekiti mwengine kutoka kaskazini Frederick Sumaye
Mm cna uhakika ndo maana Nikasema kwa ajil ya afya ya chama ni lazma hilo swala liangaliwe Mara mbil mbilNa wewe unahuakika ghani kama wanasifa.unajua videzo vya kupata muwakilishi ?