Kwakweli hili jipu kama Kuna ukweli fulani hivi, ok huenda ndomana wameamua kuwajengea nyumba kupunguza machungu acha move isongeDahh!! Hao wabunge viti maalum mkoa wa Pwani nilitegemea majina ya Mwajuma Ndala Ndefu,Maimuna,Sikudhani,Chausiku ila kumbe ni wa Kaskazini akina Muro na Mollel. Shenzy type.