primitivesio hela za ngada kweli hizi! PSE vyombo mchunguze hii issue
very primitive indeed if that makes you relieved.primitive
sio hela za ngada kweli hizi! PSE vyombo mchunguze hii issue
Usikariri maisha weweDahh!! Hao wabunge viti maalum mkoa wa Pwani nilitegemea majina ya Mwajuma Ndala Ndefu,Maimuna,Sikudhani,Chausiku ila kumbe ni wa Kaskazini akina Muro na Mollel. Shenzy type.
Dahh!! Hao wabunge viti maalum mkoa wa Pwani nilitegemea majina ya Mwajuma Ndala Ndefu,Maimuna,Sikudhani,Chausiku ila kumbe ni wa Kaskazini akina Muro na Mollel. Shenzy type.
Kaskazini umeangalia jina au unawafahamu? CCM hii dhambi ya ubaguzi mnayoipanda kwa kazi mkiongozwa na mwenyekiti wenu haitafanikiwa.Dahh!! Hao wabunge viti maalum mkoa wa Pwani nilitegemea majina ya Mwajuma Ndala Ndefu,Maimuna,Sikudhani,Chausiku ila kumbe ni wa Kaskazini akina Muro na Mollel. Shenzy type.
Hii dhambi ya kuwabagua watanzania kwa ukanda, uvyama,udini itawamaliza nyie CCM mna laana nyieHapo chadema ndipo failure inapowafuata
Mimi ni mngoni na naipenda sana chadema niko hapa songea. Hizi fitna na majungu mnayosambaza hamtafanikiwa. Nimesikia wabunge wa ccm wameambiwa ni marufuku kuongea na chademaKibaya Zaid uongoz na wanachama wamekaa kimya kabsa...watu weng hatuipend ccm lakn linapofka swala la cdm na utawala wake unaona n bora uwape mafsad wa kitaifa nchi hii...
Kwa nn hawayafanyii kaz mambo ya ukanda... Haya maswala tangu Enzi za khabour mpaka leo...daaah any way wacha tuone mwisho wake
Afrika usipokuwa makini unaweza zikwa hukiwa hai,#sumu#Kibaya Zaid uongoz na wanachama wamekaa kimya kabsa...watu weng hatuipend ccm lakn linapofka swala la cdm na utawala wake unaona n bora uwape mafsad wa kitaifa nchi hii...
Kwa nn hawayafanyii kaz mambo ya ukanda... Haya maswala tangu Enzi za khabour mpaka leo...daaah any way wacha tuone mwisho wake
Wanataka wawanyamazishe tu watu wao..walipewa pesa na Mzee sabodo wajenge ofisi wakashindwa sembuse za kutoa mifukoni mwao..kwa sasa chadema kufanya maendeleo ni ndoto maana kesi zao..madeni ya benki yao..TRA imewakaba koo..yaaniMakao Makuu Ufipa imeshindikana ndiyo wajenge mkoani?
Ofisi ya mkoa gorofa, makao makuu Kama kibanda cha chips !CHADEMA PWANI KUJENGA GHOROFA OFISI ZA MKOA
Tarehe 14.03.2017 kikao cha baraza la uongozi Mkoa wa Pwani. Pamoja na masuala mengine yaliyojadiliwa na kupangwa tumepitia na kuidhinisha michoro ya jengo la ofisi ya CHADEMA mkoa wa Pwani ambapo ujenzi wake unatarajiwa kuanza hivi karibuni.
Ofisi hizo zitajengwa Kibaha kwa Mathiasi zitatumika na Mkoa pamoja na Wilaya ya Kibaha.
Shukrani kwa waheshimiwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Pwani Mh.Mary Muro na Mh. Ruth Mollel kwa kushirikiana na uongozi wa mkoa kufanikisha hatua ya sasa.
Pwani inajengwa kwa maono na mikakati. CHADEMA inasukwa Pwani
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Pwani
Baraka Mwago
View attachment 481119
View attachment 481120
Lile jengo la muasisi wa chama amekipangisha chama kwa kodi anayoitaka yeye ili apate kipato cha kuongezea katika vitega uchumi vyakeMakao Makuu Ufipa imeshindikana ndiyo wajenge mkoani?
Mkandarasi usishangae kusikia MteiWanipe kazi ya ukandarasi basi wakuu...[emoji41][emoji41]
Akili finyu,kama ni wazaliwa wa hapo utawakataa kisa majina?Dahh!! Hao wabunge viti maalum mkoa wa Pwani nilitegemea majina ya Mwajuma Ndala Ndefu,Maimuna,Sikudhani,Chausiku ila kumbe ni wa Kaskazini akina Muro na Mollel. Shenzy type.
Kwani ni dhambi kuwa na wa bunge viti maalumu kutoka kazkazini,wakina mwajuma na wakina molel wote si ni watanzania na wana haki ya kujenga chama popote pale tanzania ili mradi wasivunje sheriaDahh!! Hao wabunge viti maalum mkoa wa Pwani nilitegemea majina ya Mwajuma Ndala Ndefu,Maimuna,Sikudhani,Chausiku ila kumbe ni wa Kaskazini akina Muro na Mollel. Shenzy type.