Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
CHADEMA PWANI KUJENGA GHOROFA OFISI ZA MKOA
Tarehe 14.03.2017 kikao cha baraza la uongozi Mkoa wa Pwani. Pamoja na masuala mengine yaliyojadiliwa na kupangwa tumepitia na kuidhinisha michoro ya jengo la ofisi ya CHADEMA mkoa wa Pwani ambapo ujenzi wake unatarajiwa kuanza hivi karibuni.
Ofisi hizo zitajengwa Kibaha kwa Mathiasi zitatumika na Mkoa pamoja na Wilaya ya Kibaha.
Shukrani kwa waheshimiwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Pwani Mh.Mary Muro na Mh. Ruth Mollel kwa kushirikiana na uongozi wa mkoa kufanikisha hatua ya sasa.
Pwani inajengwa kwa maono na mikakati. CHADEMA inasukwa Pwani
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Pwani
Baraka Mwago